Karibumbona ata sielewi kinachoongelewa??
mbona ata sielewi kinachoongelewa??
Sipendi watu kama wewe Mruma,
Watu ambao hata kama unaona kwa mada ni pumba bado unachangia.
Siwapendi ninyi ambao msipoelewa kitu mnasema ni pumba badala ya kugundua kuwa mnachosema ninyi chaweza kuwa ndicho pumba.
Karibu
Hapendwi mtu hapa...
c'est tres vrais!
wataje!
J'ai peur d'être interdit madame femme de substance!,
la prochaine fois je le ferai!
mbona ata sielewi kinachoongelewa??
Bado sijaelewa hii mada inamaana gani! toka kwenye kichwa cha habari hadi uchangiaji!
Mods mbona mnaacha mada kama hii inaendelea kuwa ndefu!!!
Bado sijaelewa hii mada inamaana gani! toka kwenye kichwa cha habari hadi uchangiaji!
Mods mbona mnaacha mada kama hii inaendelea kuwa ndefu!!!
Nami pia siwapendi watu kama wewe wasio malizia kitu wanacho taka kusema....
J'ai peur d'être interdit madame femme de substance!,
la prochaine fois je le ferai!
Sipendi watu kama wewe Hebrew,
Watu ambao wasipoelewa mada, hushawishi mods waiondoe,
Sipendi watu kama wewe unayetaka kuwafanya mods waonekane kuwa hawajui fasihi.
Sipendi watu kama wewe Hebrew usiyependa mambo tofauti na uliyoyazoea hadi kupewa thanks na NYARALEGO.
Sipendi kabisa,
Hunijui namimi sikufahamu nawala sitaki kukufahamu!! wewe unataka kuigeuza JF kuwa kama the late UTAMU !!
So, lolote usemalo...I couldnt care less!!
Mods pls pls!!