SIPENDI WATU hawa

siwapendi kabisa watu wanaokula uchumi wa Taifa hili masikini wao tu wakijumuisha, ROSTAAAM, LOWAAASA MONDULI, KARAMAAAGI, EDO HOSEA, JKM, BENNY M, MWAYIKAA, NK. hukumu yao ni kwa masikini wanaoangami siwapendi kabisa na watanzania wasioelewa haki zao wanabaki kushabikia mafisadi.
 
hiyo message au ujumbe wako mbona unahang? Hatuelewi tuchangie nini!!

Sipendi watu kama wewe Audax,
Watu ambao kama hamuelewi kitu kwa haraka huwa mnasema mada hiyo ina hang. Watu msiojiuliza kama kinacho hang ni mda husika au na fikra zenu.
 
mpende jirani yako kama unavyojipenda....sori...

Sipendi watu kama wewe Nerist,
Watu mnaolazimishwa majirani wapendwe kwa kiawango cha kujipenda mimi.Inamaana kama napenda kubusiwa na mume wangu , basi nipende pia mume wangu awabusu majirani zangu.
 
Jirani ni yupi maana Vitabu vya dini huwa sivielewi mara msamehe 7 x 70=490 au Usimtamani mke wa jirani yako hivyo kama siyo mke wa jirani yako nisawa kumtamani...

Sipendi watu kama wewe Crashwise,
Watu mnaopenda kubadili mada za kawaida kuwa mada za kidini.
 
siwapendi kabisa watu wanaokula uchumi wa Taifa hili masikini wao tu wakijumuisha, ROSTAAAM, LOWAAASA MONDULI, KARAMAAAGI, EDO HOSEA, JKM, BENNY M, MWAYIKAA, NK. hukumu yao ni kwa masikini wanaoangami siwapendi kabisa na watanzania wasioelewa haki zao wanabaki kushabikia mafisadi.

PhD,
Hata mimi siwapendi watu hao uliowataja.
Siwapendi kabisa.
 
sio kihivyo kama sikosei ww mtu mzma lakin full pumba man,,,,unajaza chance mada zakidosho..kajipange

Sipendi watu kama wewe Mruma,
Watu ambao hata kama unaona kwa mada ni pumba bado unachangia.
Siwapendi ninyi ambao msipoelewa kitu mnasema ni pumba badala ya kugundua kuwa mnachosema ninyi chaweza kuwa ndicho pumba.
 
Kina nani hao? au watu wa aina gani?
Wazungu, Waafrika, Wahindi, Wachina au..
Wafupi, wanene, warefu au...
wanaaongea sana, wapole au

be specific kuna watu wa aina na tabia nyingi

Inawezakana mpaka muda huu twajadili keshajisuisaid. Au keshajinyonga kwani huwa akina French socialogist -Emanuel Dukheim (1832-1882) kama nakosea nirekebishwe jamani) wa Ufaransa aliandika kama mtu hapendi wenzake basi huyo kujitoa mhanga si kitu cha ajabu.
 
Sipendi watu kama wewe Malyamungu,
Watu mnaowawazia wenzenu mabaya.Mabaya kama kujinyonga.
Watu mnaosimamia quotation za wengine hata kama hamna uhaka nazo.
 
Sipendi watu kama wewe Shapu,
Mtu ambaye asipoelewa kitu huwa na maneno makali badala ya kuchunguza kama kuna nini ndani ya mada husika.
Watu ambao mko too SHAPU kulaumu.

Emma,
Unajua nimecheka sana response zako....
sawa bwana nimekubali comments zako.
Ila bado sijakuelewa unakotaka kwenda.
We jamaa ni kiboko na philosofi yako
kweli malenga ni wengi
 
siwapendi watu ambao wanatumia muda wao mwingi hapa JF kufuatilia nani kapost nini waanze kuleta majungu na umbea umbea.
siwapendi watu ambao wanaponda post za wenzao hapa JF wakati wao hawapost zenye maana wala akili lakini watu wanawachunia, SIWAPENDI aaarrrghhh, au niwataje?
 
UNAJIJIJU...teheh tehe heeee:eek::eek:
 
Back
Top Bottom