SIPENDI WATU hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIPENDI WATU hawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emma M., Jul 27, 2009.

 1. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna aina nyingi sana za watu siwapendi.
  Siwapendi kabisa.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nina wasi wasi kama wewe mwenyewe unajipenda, manake hueleweki unachomaanisha..
   
 3. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni watu wa aina gani? na kwa nini huwapendi?
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kina nani hao? au watu wa aina gani?
  Wazungu, Waafrika, Wahindi, Wachina au..
  Wafupi, wanene, warefu au...
  wanaaongea sana, wapole au

  be specific kuna watu wa aina na tabia nyingi
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi SIPO.
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Ni dhambi kumchukia binadamu mwenzako!!!!!!!1
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jul 27, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hiki kimekaa kama 'kitendawili-tega' fulani hivi cha kutupotezea muda!
   
 8. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  We mtoa mada vp?? Mbona hueleweki unatujazia tu humu. Kata issues bana.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ona sasa huyu nae!!!!
   
 10. A

  Audax JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo message au ujumbe wako mbona unahang? Hatuelewi tuchangie nini!!
   
 11. N

  Nerist Member

  #11
  Jul 27, 2009
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpende jirani yako kama unavyojipenda....sori...
   
 12. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sipendi watu kama wewe NDUGU,
  Watu ambao wasiponelewa hunilaumu mimi badala ya kujilaumu wao wenyewe kwa kutonielewa.
   
 13. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni watu kama wewe JOYCELINE,
  Watu ambao mnauliza maswali gani na kwa nini bila kutoa ushauri.
   
 14. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni watu kama wewe SIPO,
  Mnaopenda kila kitu kifanywe kwa kuwa specific.
  Huwa hampendi general matters hata kama mtu hawezi kuwa specific.
  Hamtakagi kumsaidia mtu ambaye siyo specific.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Joyceline, sisi wengine tunakumindi tu hata kama Emma anaona wewe mikosi!
   
 16. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exaud upo kati ya nisiowapenda.
  Watu ambao mnajiweka nje ya tatizo kwa kusema kuwa hampo.Yaani hamhusiki.Wewe upo kati ya hao nisiowapenda kwa kudhani kuwa hupo.
   
 17. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi simpendi mtu kama wewe Who cares?
  Watu mnaowahukumu wenzenu kwa kuwaambia wanatenda dhambi.
  Watu mnaotaka wenzenu wapende kila mtu kwa hali yoyote.Ina maana hata mafisadi ni wapende tu.
   
 18. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sipendi watu kama wewe Buchanan,
  Watu mnaochukulia mawazo ya wenzenu kuwa kitu cha kupotezea muda.
   
 19. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sipendi watu kama wewe Shapu,
  Mtu ambaye asipoelewa kitu huwa na maneno makali badala ya kuchunguza kama kuna nini ndani ya mada husika.
  Watu ambao mko too SHAPU kulaumu.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jirani ni yupi maana Vitabu vya dini huwa sivielewi mara msamehe 7 x 70=490 au Usimtamani mke wa jirani yako hivyo kama siyo mke wa jirani yako nisawa kumtamani...
   
Loading...