SIPENDI WATU hawa

Huyu jamaa nadhani ali-click reply kwa bahati mbaya kabla hajamaliza alichotaka kutuambia -Tumsamehe kwa hilo nadhani kuna kitu alitaka kutuambia
 
Japokuwa mada yenyewe ina hang tumejitahidi kuonyesha ushirikiano wa kuchangia hii inaonyesha kweli imeonekana.
Majani ya KUNDE
 
Wanaojifanya sio waaafrika , alafu waafrika , na bado wana maneno kama "poor afrika" "ndivyo tulivyo" (nimesonya hapa...mfuuy!) wat eva! siwapendi watu hawa...

yaani!
 
Back
Top Bottom