Sipendi unafiki huu wa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi unafiki huu wa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Facts1, Dec 29, 2010.

 1. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu
  baada ya kutofautiana na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

  Ukiangalia hapa Mkurugenzi wa Knight Support yuko serious wakati mkurugenzi wa zima moto akijichekelesha sijui ni kwa dharau au hajali yanayotokea au anajifanya kucheka kujenga urafiki wa kinafiki aonekane yeye muungwana machoni mwa watu kuliko mwenzake.

  Nasema sipendi kabisa tabia hii ni unafiki mtupu.
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  thats what you get from an English man yuko straight na atakupa live as it is

  Serikali itangaze tenda tuuu watu wasupply vifaa na magari
   
 3. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  u r right,kila sehemu,hata ukibandika picha yako facebook ukiwa na kinyesi kimekuganda still watu watakwambia umetakata kweli,au uko juu,ilhali ni unafki mtupu,i hate this
   
 4. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  At last someone said it for me.Hata mimi inanichefua sana sijuhi tuite unafiki sijuhi tuite inferiority sijuhi tuite nini.I dislike the use of that phrase in swahili.Ukiangalia kwa undani ni kama lugha inayoleta unyanyapaa fulani in another context.Sitaki kusikia hata siku moja mtu ananiambia niko juu for whatever,he should find an alternative way of complementing me but not this.It makes you feel like a king and a slave it's discriminative..Totally typical slave mentality.Any revolutionary,Gandhi as an example would never ever accept such a lame complement take my word!...Disgusting!
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hata viongozi wetu wa juu wa kisiasa ndivyo walivyo. Wamejaa unafiki. Wanachekacheka lakini mioyoni mwao ni tofauti kabisa.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyo mwingine ni waziri Nahodha ama macho yangu?
   
 7. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,528
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Halafu huyo kulia mwenye suti nyeusi ni Mh. Nahodha Waziri wa Mambo ya Ndani (Mb Wakuteuliwa) (pia Waziri Kiongozi mstaafu wa SMZ), kweli mkuu wa hiyo kampuni ya ulinzi alikuwa kakasirika kweli.

  Ila sijui kama kuna raia yeyote awe mwenyeji au raia wa kigeni katika nchi za wenzetu anaweza kuanzisha zongo kwenye 'high-table' mbele ya waziri wa usalama, lazima huyu kiongozi wa kampuni ya ulinzi ameshaudharau uongozi mzima wa serikali ya SISIEMU siku nyingi zilizopita na kitendo hiki ni hitimisho kuwa Tanzania hatuna uongozi kuanzia juu mpaka chini.

  Kweli nchi yangu Tanzania ni yatima haina uongozi asilani.
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,035
  Trophy Points: 280
  Nahodha amekuwa mdogo kama kidonge cha pilton.
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona kama kikao chenyewe kinafanyikia Uani? Isije ikawa ni kikao cha arusi!!
   
 10. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waafrika weusi wote ndivyo wanavyokuwa hivi mbele ya mzungu; isipokuwa wa-south afrika na wanaijeria tuu.
   
 11. C

  Campana JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama vile wako baa, maana hivi viti vya plastik vinaonekana baa zaidi. Kama hii ndiyo ofisi ya Kamishna wa zimamoto, basi taasisi nyingine za gvt ziige kwa kutumia fanicha za gharama za kawaida kama viti hivi ili pesa zitakazookolewa zielekezwe kwenye maendeleo
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  Kwenye maendeleo au ufisadi??hapa kinachotakiwa ni kuondoa system yote,,..yaani kirusi CCM..pale wanazuga tu ingia kwenye ofisi zao uone mafenicha na maflat screen...mara ya kwanza kuingia kwny ofc ya big boss wetu nilitaka kupandisha presha..nilidhani nimeingia peponi wakati sisi viti vimevunjika lakini kuvireplace lazima upite mchakato mrefu wa mizengwe wa manunuzi ya umma
   
 13. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Story bado haijakamilika...nini hasa kilichotokea mpaka huyo mzungu atishie kuondoka kwa hasira?? Mwenye full mkanda pliz!
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Binafsi sidhani kama mtu kucheka/kutabasamu wakati mwenzake amekasirika/anamjia juu kama ishara au dalili ya unafki...
  Huwa naichukulia kama kuwa na confidence za kuweza kumhimili huyo mtu ndo maana huna wasiwasi....
  Kama mtu amekueleza upumbavu ukakataa kukubaliana naye akikasirika dawa yake ni kumcheka...

  Ukitaka kujua unafiki wa mtu Tazama Picha za JK kwa umakini, Yale matabasamu yake ndo unafiki wenyewe........
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kuna anayeweza kutuambia kilichokuwa kinazungumzwa? Isije ikawa huu ulikuwa utani kabla ya kikao kuanza ama baada ya kikao kumalizika? kwa nini viongozi wetu wote wawe wanatabasamu huku 'wanafokewa' na mzungu? The pic may not be what we are made to believe it is.
   
 16. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ninini kinampa jeuri huyu mthungu?
   
Loading...