Sipendi ujinga kwa mke wangu

Sipendi ujinga kwa mke wangu

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa. Kwanza hawaogi alafu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha na hawa vijana.Cha kumshika Mke wangu mikono na miguuu nani anataka huo upuuzi nasema big no, nitakupaka mwenyewe.

Sipendi ujinga mimi
 
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa .
Kwanza hawaogi afu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa Na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha Na hawa vijana.
Cha kumshika Mke wangu mikono Na miguuu Nani anataka huo upuuuzi nasema big no.
Nitakupaka mwenyewe

Sipendi ujinga mie
Ukimkuta mwanaume anakubali mke wake afanyiwe hayo akapimwe akili
 
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa .
Kwanza hawaogi afu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa Na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha Na hawa vijana.
Cha kumshika Mke wangu mikono Na miguuu Nani anataka huo upuuuzi nasema big no.
Nitakupaka mwenyewe

Sipendi ujinga mie
hata akijifungia ndani atamangwa tu ..........usimchunge mwanamke akiamua hehee...... we mwache tu apendeze
 
Simchungi mkuu ila sitaki ashikweshikwe Na hawa vijana wa rangi Na wamasai
 
Kupenda ni mzigo wa misumari!.....Mimi huwa sipendagi!!......For me to fall in love is too greater a burden to bear!
 
Jeaousy...is it a sign of love or insecurity???...man-up and get yourself up!
 
Ukiona mwanaume anambana mkewe namna hiyo ujue na yy michepuko Anayo anahis anachotenda na mkewe anatenda hayohayo acha wivu fanya maendeleo, mwanamke hachungwi ila anajichunga mwenyewe kutokana na tabia yake ya awali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom