Sipendi ujinga kwa mke wangu

Sipendi ujinga kwa mke wangu

Mshukuru sana mungu, maana hawa viumbe wamebadilika sana , sio kama wale wa enzi zilee
 
*HUYU* *NDO* *MWANAMKE*

Akikuta *PESA* wakati anafua atapiga kimya kimya

sasa hemu akute umeacha *CONDOM* ndo utajua kama umeoa *KIPAZA* *SAUTI*
Ndio maana mimi nafunganga condom na hela kwa pamoja... akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu..
*spendagi ujinga mm*
 
Utakufa kwa pressure shauri yako jidai sasa kuwa busy na mkeo, you can't believe siku moja Utakuja ndo kakamatiwa na jemba utakufa hapo hapo, jiandae kwa lolote mkeo sio kiungo chako cha mwili kiasi kwamba unaweza kukiamini kitendavyo 100% ndg.
 
But wewe unapenda kushikwa shikwa na wamasi na wapaka ranging?
Mimi sisukwi na wamasai bcoz wanasmell vibaya sana na kwenye kucha najipaka mwenyewe home nanunua rangi napaka bcoz baadhi ya nyege zangu zipo miguun ndio maana mzee alinipiga marufuku kwenda kupakwa rangi na wakaka
 
Si afadhali hao wanafanya mchana kweupe nje, yupo anaembandua ndani mchana, au hilo halina shida Mkuu
Hivi mke wangu akikunjwa na mijamaa huko mtaani, inakuwa nani hasa amejiaibisha, mimi au yeye?

Huwa nasoma comments humu, "utagongewa", sasa akigongwa utu wake si ndio umeaibika kweli.
 
Mimi sisukwi na wamasai bcoz wanasmell vibaya sana na kwenye kucha najipaka mwenyewe home nanunua rangi napaka bcoz baadhi ya nyege zangu zipo miguun ndio maana mzee alinipiga marufuku kwenda kupakwa rangi na wakaka
He is right, kumbe una nyege za miguuni tena, kiasi kwamba ukiuguswa na jani inakuwa balaa....daaaah.... bora Mr atiye mkazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom