Sipendi ujinga kwa mke wangu

Sipendi ujinga kwa mke wangu

Mimi sisukwi na wamasai bcoz wanasmell vibaya sana na kwenye kucha najipaka mwenyewe home nanunua rangi napaka bcoz baadhi ya nyege zangu zipo miguun ndio maana mzee alinipiga marufuku kwenda kupakwa rangi na wakaka
Daaaah.... Ni shiiidaaa.... bora tu Mr apige marufuku bana.
 
Hivi mke wangu akikunjwa na mijamaa huko mtaani, inakuwa nani hasa amejiaibisha, mimi au yeye?

Huwa nasoma comments humu, "utagongewa", sasa akigongwa utu wake si ndio umeaibika kweli.
Tatizo sio kuaibika, maumivu yake we unayaweza?? Ndo wadau wanachozungumziaga hapa,we fikiria tu jamaa hataki mkewe asukwe na mtu sababu ya wivu sasa ukijua anagongwa je
 
Hayo mambo ungemwambia mkeo nyumbani kuliko kutuletea jf humu utafikiri wote ni wake zako.
Sipendi huo ujinga na mimi
 
Hayo mambo ungemwambia mkeo nyumbani kuliko kutuletea jf humu utafikiri wote ni wake zako.
Sipendi huo ujinga na mimi
Asante kwa kuchangia mkuu
Sie tunao pata somo wacha tuendelee
 
NADHANI MKUU ULITAKA KUMAANISHA ATA AKICHEPUKA ASICHEPUKE NA WA HADHI YA CHINI,ACHEPUKE NA BOS WAKE LABDA NA SIO MSUSI,NA MPAKA RANGI AU CJAKUELEWA.?
 
Sasa kama una wivu namna hyo,ulioa mke ili iweje?
 
Naomba nimpapase girl friend/mke wako....nataka nimpake rangi ya kucha na kumsafisha nywele huku akinilalia mapajani.
Nikikuruhusu umpake rangi ya kucha namimi naomba uniruhusu nikupake KY hapo tutaenda sawa....
UTAKUBALI???
 
Hivi mke wangu akikunjwa na mijamaa huko mtaani, inakuwa nani hasa amejiaibisha, mimi au yeye?

Huwa nasoma comments humu, "utagongewa", sasa akigongwa utu wake si ndio umeaibika kweli.
huwa napendaga comments zako sanaa. hahahhahahahahahaha
 
Umepata akili kama ni mapambo anakupambia wewe hivyo unakhiyari ya kuchagua asukeje. Au sio
 
Wamasai wana dawa zao hizo wanakupaka kichwani wakati wa msuko unajishtukia ushagongwa na mmasai bila kujua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom