Ha ha ha haaaa nacheka kwa dharau, wakati anapakwa rangi atakuomba ruhusa? Utampeleka salon? Hivyo vitu vitafanywa akitoka kazini, halafu wewe utakuwa huna kazi ya kufanyaHakuna cha kujiamini na kupapasiwa mke wangu, huo ni ujinga uliopitiliza
Kweli cheka kwa dharau mkuu, ni kuambie tu hicho kitu kwangu hawezi kufanya bila ya kuniomba ruhusa nikubali ndo afanya nisipokubali hafanyi na hakuna malalamiko, watu tumeoa wake wenye heshima zao bana sio madude tu ya kuokotaHa ha ha haaaa nacheka kwa dharau, wakati anapakwa rangi atakuomba ruhusa? Utampeleka salon? Hivyo vitu vitafanywa akitoka kazini, halafu wewe utakuwa huna kazi ya kufanya
Tupo pamoja Na mie sipendi huo ujingaHuuu ujinga huwaga siupendagi kabisa yaaani, cha ajabu siku hizi ipo na midume inashikwa shikwa mikono na miguu eti na lidume zima na lenyewe linasafishwa kucha huu use.nge huwaga siukubali kabisa, kwel dar kibyokooo
Simchungi nafanya MaendeleoUkiona mwanaume anambana mkewe namna hiyo ujue na yy michepuko Anayo anahis anachotenda na mkewe anatenda hayohayo acha wivu fanya maendeleo, mwanamke hachungwi ila anajichunga mwenyewe kutokana na tabia yake ya awali
Nisha mwambia kwa hekima amenielewa mkuu kucha namsugua mwenyewe tukiwa tumelala kwenye kochi.Haha bora wewe umeamua hayo, na kama mke wako atakubaliana na wewe maana siku hizi na wao niwabishi kweli kweli katika kutekeleza mambo yao