Sipendi ujinga kwa mke wangu

Sipendi ujinga kwa mke wangu

MI NIKO MWENGE HAPA NA NAIJUI MICHEZO YAO. NIKIKUONYESHA KWAMBA HUYU MDADA KALIWA NA YUME MMASAI UTASHANGAA.
 
Nikikuruhusu umpake rangi ya kucha namimi naomba uniruhusu nikupake KY hapo tutaenda sawa....
UTAKUBALI???

Mimi siyo mke, naona unajichanganya.....ila kama utataka nikupe dushe sema tu, nyie wanaume wa Dar mnaeleweka na mambo yenu ya kisodoma na Gomora.
 
ukitaka kufipisha maisha yako anza kumfuatilia mwanamke wewe kuwa na mambo yako mpe uhuru kwani nyote ni watu wazima kila mtu alinde heshima yake hapo mtaishi ukianza sijui atatongozwa na yule sijui na huyu utakufa na presha hawa watu huwa wezi hata kidogo
 
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa. Kwanza hawaogi alafu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha na hawa vijana.Cha kumshika Mke wangu mikono na miguuu nani anataka huo upuuzi nasema big no, nitakupaka mwenyewe.

Sipendi ujinga mimi

Mke hachungwi mkuu,ukimchuga na akijua unamfatilia,utamfanya auze papuchi kama karanga,na hawa wanawake wa mwendo kasi shida tupo
 
Basi sawa...
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa. Kwanza hawaogi alafu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha na hawa vijana.Cha kumshika Mke wangu mikono na miguuu nani anataka huo upuuzi nasema big no, nitakupaka mwenyewe.

Sipendi ujinga mimi

Nimempa mimba binti mmoja jina tumpe Chausiku.Tatizo dini, siye tunapendana sana na yeye binti yupo tayari kuja upande wa dini yangu. Upande wa kwao unakaza hawataki mtoto wao aje upande wangu.

Kibaya zaidi yani wanataka mpaka mtoto akizaliwa awe upande wao,
wazazi wangu wamenishangaza kidogo sikutegemea kama wangesema hivi;
kama wazazi wa binti watagoma mtoto wao kuja upande wetu achana naye hata kama amebeba mtoto wetu dooh! Kwa kweli hii ni ngumu kumesaa.

Ushauri wametoa kwasababu upande wa wazazi wa binti wanataka mimi nibadilishe dini niwe upande wao, kama sitaki binti na mtoto aliye tumboni ni mali yao na mimi hawatanitambua.

Tulicho fikiria sisi na binti;

Kwa sababu tunapendana sana yeye binti awaambie wazazi wake, kwamba kila mtu atabaki na dini yake. Lengo tupate ruhusa kutoka kwa wazazi wake ya siye kuishi wawili nimsahidie kulea mimba ina miezi minne nahitaji kuwa baba wa mfano. Sijui njia hii ipo sahihi?

Naombeni ushauri wakuu.
 
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa. Kwanza hawaogi alafu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no.

Utasukwa na wanawake wenzio bhana.

Mke wangu marukufu kupakwa rangi za kucha na hawa vijana.Cha kumshika Mke wangu mikono na miguuu nani anataka huo upuuzi nasema big no, nitakupaka mwenyewe.

Sipendi ujinga mimi
Usikonde bro..hayo yote yatapita tu kwani bado kidogo mtahamishiwa Dodoma na hatutowaita tena wanaume wa Dar
 
Mimi sisukwi na wamasai bcoz wanasmell vibaya sana na kwenye kucha najipaka mwenyewe home nanunua rangi napaka bcoz baadhi ya nyege zangu zipo miguun ndio maana mzee alinipiga marufuku kwenda kupakwa rangi na wakaka
ati baadhi ya nyege zako zko miguuni,zingne zimebakia wapi....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom