Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Nina house girls wawili.
Tatizo sio uvivu.
Siyo uvivu ni uchafu tu, kama nguruwe anavyogala gala kwenye mavi yake usizani anapata tabu ndo starehe yake. We unaonekana ukinisimamia kwenye mwendokasi kikwapa chako ni balaa
 
Hongera kwa usafi ila utakua na itilafu kidogo kwenye kichwa chako na mara nyingi watu kama nyinyi hamridhikagi na usafi wa mtu mwingine mpk mjifanyie wenyewe nishashuhudia ndoa moja mke anafua akimaliza mume anaenda kukagua kwenye kamba kama mashart yake yametakata ole wake ayakute yanakasoro....
 
Watu Ni waongo Sana , watanzania wote maisha yetu yanaeleweka hatuna haja ya uongo uongo mwingi .

Mimi mashuka huwa nabadili jmosi kusema ukweli kabisa

Nguo za ndani zote huwa sirudii hii inaeleweka kwa watanzania wote labda wa bush tu

Nguo za vitenge,suruali na sketi naweza vyaa Hadi Mara nne kwa nyakati tofauti tofauti kwa sababu ukifua Mara kwa Mara zinapauka .

Nguo za juu top,blauzi tshert na nyinginezo huwa hazifai kurudia sababu ya jasho navaa Mara moja tu

Kanga mitandio,vikoi havina ratiba maalum Ina tegemea na matumizi
 
Mi mwenyewe sipendi mwanaume mchafu kabisa

Napenda smart, ambaye usafi kwake ni kitu cha kwanza, nguo safi zimepasiwa, kiatu safi kimepigwa kiwi, kama raba safi rangi ionekane sio unavaa raba haijulikani rangi

Ndani kwake kusafi, kila kitu kimepangwa sehemu yake, sio nguo zinazagaa masoksi kule, jeans kwny uvungu wa kitanda, sufuria halijaoshwa wiki ,sio geto lina harufu kumi kidogo ukitoka hapo mafua wiki nzima! Nope.

Sasa nikiwa msafi hivyo wewe kazi yako nini?
 
Mi mwenyewe sipendi mwanaume mchafu kabisa

Napenda smart, ambaye usafi kwake ni kitu cha kwanza, nguo safi zimepasiwa, kiatu safi kimepigwa kiwi, kama raba safi rangi ionekane sio unavaa raba haijulikani rangi

Ndani kwake kusafi, kila kitu kimepangwa sehemu yake, sio nguo zinazagaa masoksi kule, jeans kwny uvungu wa kitanda, sufuria halijaoshwa wiki ,sio geto lina harufu kumi kidogo ukitoka hapo mafua wiki nzima! Nope.
 
Usafi wako binafsi iweje kazi yangu mkuu?
Tofauti yangu mimi na wewe mwanamke nini?

uje kwangu ukute kila kitu kipo kwenye mpangilio

ndani pasafi panang'aa kitanda kimetandikwa safi vyombo visafi sijui nguo nimepanga

yaani ukija hata kuwajibika kidogo hapa

inabidi upakute hapaeleweki wewe ndo ufanye hiyo kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom