Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka.

Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue. Aisee! atachezea makofi daily
 
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Kwajinsi tabia yako ilivyo ni vema ukapata mke mchafu kwani hapo mtakuwa sawa kuliko kupata mke msafi maaana anaweza kuwa msafi zaidi yako kisha ukajiona umchafu zaidi kwake kuliko unavyojidhania.
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
 
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Naona umetii agizo la Bashite
 
Kwanza hiyo kazi ya kufua kila siku anaiweza dobi peke yake,,,, usikute mtoa mada ni dobi
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Subiri wasafi feki wa jf waje😂😂😂😂😂.
 
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
unataka mke au Bibi afya.
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
 
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.

Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
safi kwa kuonyesha uadilifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom