secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,387
- 28,812
Hawa jamaa wanapata faida gani mkuu hadi wanafanya hivi.Jichanganye uone.
Hawa jamaa wanapata faida gani mkuu hadi wanafanya hivi.Jichanganye uone.
Inakuchanganya kwa namna ganiHiyo avatar yako hunichanganya mara kwa mara.
Je ni picha yako kweli?
Thibitisha hili usemaloUnampenda mwanaume mwenzio?
Hehehe!!!Inakuchanganya kwa namna gani
Alafu wew humu kila avatar ikuchanganye wew tu
Mbona huokoti makopo🤣🤣🤣 usinitoe ufufahamu
🤣🤣🤣imenibidi nichekeNawasifu mnajua mapenzi hasa kukata kiuno wakati wa tendo pia ni wachapakazi wazuri.
Fahamu ya kwamba hii avatar yako inanitoa akili mpaka nabakiwa na fuvu pekee then nakuwa mtu wa hovyo for a while.Inakuchanganya kwa namna gani
Alafu wew humu kila avatar ikuchanganye wew tu
Mbona huokoti makopo🤣🤣🤣 usinitoe ufahamu
Matatizo ya kujitakia hayo sina muda wa kuyatolea ushauri hicho ni kiherehere cha moyo wako😂😂😅Fahamu ya kwamba hii avatar yako inanitoa akili mpaka nabakiwa na fuvu pekee then nakuwa mtu wa hovyo for a while.
Unanishauri nini niepukane na hili tatizo.
Najaribu kúji control lakini wapi duh! Nionee huruma basi.Matatizo ya kujitakia hayo sina muda wa kuyatolea ushauri hicho ni kiherehere cha moyo wako😂😂😅
Hakuna huruma ya namna hiyo dogoNajaribu kúji control lakini wapi duh! Nionee huruma basi.
Umetumia kigezo gani kuniita dogo.Hakuna huruma ya namna hiyo dogo
Lala ukue
Namna unavyo lalamika nikama dogo anaepitia zile ndoto za usiku sasa anapambana kupata kile kitakacho mpa auheniUmetumia kigezo gani kuniita dogo.
Unaujua utamu?Namna unavyo lalamika nikama dogo anaepitia zile ndoto za usiku sasa anapambana kupata kile kitakacho mpa auheni
Ndio mdudu gan huyoUnaujua utamu?
Unataka uonje?Ndio mdudu gan huyo