Sipendi lafudhi ya wasambaa

Sipendi lafudhi ya wasambaa

napenda sana wanavyoongea wasambaa kama wanachekesha vile

Sipendi tu tabia yao ya UCHAFU
 
Mimi kiasili ni msambaa ila sina lafudhi ya kisambaa , najulikana kama Mtanga ninapoongea watu wananisikiliza ...Hali hii ilinigharimu sana nikiwa advance , watu walipenda niongee tu muda wote kabla walijua mimi ni mkenya .

Naongea vizuri maana kuna watu wanaiga so ni zaidi ya lafudhi yangu hakuna TZ nzima labda kwa wadigo na zenji .
 
Back
Top Bottom