Sipendi lafudhi ya wasambaa

Sipendi lafudhi ya wasambaa

Mi huwa nawakubali sana lafudhi yao. Ukute sheikh ni msambaa huwa napenda anavyoongea
 
Nina jamaa yangu hapa huwa ananipa burudani kusikiliza lafudhi za makabila mbalimbali hapa tanzania. Anajua mpaka za wahuni wa arusha
 
Babe hauna ka clip ka sampo ya voice msambaa akiongea unitumie niskizepo lafudhi Yao😶!??
 
Wadada wa kisambaa wengi ni wafupi. Wembamba, hakuna mweny tako la maana

- Wengi wanaongea sana na kupenda Umbea

- Wanajua kupika chakula kinachohusisha ngogwe, mfano dagaa

- Wanaridhika na maisha
 
Wadada wa kisambaa wengi ni wafupi. Wembamba, hakuna mweny tako la maana

- Wengi wanaongea sana na kupenda Umbea

- Wanajua kupika chakula kinachohusisha ngogwe, mfano dagaa

- Wanaridhika na maisha
Kweli unawajua
 
Back
Top Bottom