Mnaojidai mpo dar, mbona ni aibu mgeni wako akitoka nje? Tusiende mbali, Mgeni kapandia ndege Jomo Kenyata Airport, akatua JKA.
Ivi bado utajidai upo dar mbele yake?
Mpo dar lakini hamuogi siku tatu, mijasho kila sehemu? Ivi utamu wa mkoa wa dar uko wapi?
KWI KWI KWI! dar ndio haswaaaaaaa tanzania, hata zanzibar ni mkoa! yaani dar ni mambo yote, lolest! msinipige tu humu jamani! taratibu,
mie sipendi hasa wakazi wa lindi mtwara, ruvuma huwa hawataki kutaja mkoa anaotoka utasikia natokea kusini huko. Hiyo sentensi imefanya hata watu wengi saas wanatumia utasikia watu wa kusini, kweli nachukia sana huo usemi, kwa nini usitaje mkoa rasmi au wilaya unajumuisha tuu eti kusini kwa nini?
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii dharau huwa siipendi kabisa. Ntakuja ua mtu.
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii dharau huwa siipendi kabisa. Ntakuja ua mtu.
Mnaojidai mpo dar, mbona ni aibu mgeni wako akitoka nje? Tusiende mbali, Mgeni kapandia ndege Jomo Kenyata Airport, akatua JKA.
Ivi bado utajidai upo dar mbele yake?
Mpo dar lakini hamuogi siku tatu, mijasho kila sehemu? Ivi utamu wa mkoa wa dar uko wapi?
halafu huwa wana kaharufu fulani hivi, utajua tu huyu wa mkoa! ila akishaogea maji bahari mpe mwezi tu, na ye atakwambia kitovu chake kilizikwa karimjee grounds!! hebu nipite mie!Ila kibamba, kimara na kitubda ni mkoani. Dsm ni mbagala, manzese na masaki na mbezi beach. Hata bunju mkoani tu,lol
kakajambazi unebichekesha hadi nimepaliwa. Afu ujue watu wa mkoani utawajua tu, wala hawahitaji kujitambulisha.
afu wengine wanasema naenda tanzania
hahah na wa mikoani tutagoma kulima dar mule pesa zenuKWI KWI KWI! dar ndio haswaaaaaaa tanzania, hata zanzibar ni mkoa! yaani dar ni mambo yote, lolest! msinipige tu humu jamani! taratibu,
Nenda Bukoba,utaambiwa wewe ni mnyamahaga!
Na hapa bado barabara za kwenda kasi hazijakamilika, plus daraja la kigamboni na fly overs juu bila kusahau trains za mwakyembe.. Jk nyerere international airport terminal 3, duh kweli dar itakuwa kama new york,,, kweli wa mkoan kazi tunayo