KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Mie sipendi hasa wakazi wa Lindi Mtwara, Ruvuma huwa hawataki kutaja mkoa anaotoka utasikia natokea kusini huko. Hiyo sentensi imefanya hata watu wengi saas wanatumia utasikia watu wa kusini, kweli nachukia sana huo usemi, kwa nini usitaje mkoa rasmi au wilaya unajumuisha tuu eti kusini kwa nini?
na wewe upo mkoani?
Ndo wapi?!
Ungekuwa pembeni yangu ningekulabua makofi.
afu wengine wanasema naenda tanzaniaUlitaka uitwe mzawa??wa mkoa wa mkoa tu.mbona mkiwa unakuja dsm mnasema naenda 'town'
weye ntu ya baraUtasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii dharau huwa siipendi kabisa. Ntakuja ua mtu.
hahahahahaaa....
Makofi ya nini mkuu?
Mnona hata mie niko mkoani kwa wiki sasa, na silalamiki
Wapi ndo sio mkoani? Ukiwa Masaki sio mkoani?
Ulitaka uitwe mzawa??wa mkoa wa mkoa tu.mbona mkiwa unakuja dsm mnasema naenda 'town'