Sipendi hii tabia...

bwahahaha arifu niaje aiseee.......kujuana na jamaa wa humu michosho sana arifu......mpe kubwa huyo
 
kwema chalii 'angu.. Kwa hiyo mwana wadau wameshakuweka uchi hazarani? Nanihi naye ameshtukia?

madogo wanazingua mtu wangu .....nangoja kadi ya michango ya arusi toka kwako au vijimaneno vyote zile zilikuwa kufurahisha baraza tu
 


kipipi tena mi ndio nimeshasema nampenda 'M' sasa nikijulikana na walimwengu??? mh..........!
 
...kamanda vipi tena...wadau wamezingua..?@Saint Ivuga
 
...kamanda vipi tena...wadau wamezingua..?@Saint Ivuga

yapa mkuu..soon nitafutika na hii ID ..bora wakujue washkaji zako tu kama wewe hivi ila sio vinyamkera wanaanza kutangaza tangaza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…