Jamani vitu vingine msiwe mnaongea hata kama ni kujitia uanaume. Hivi wale wanao fungiwa mtaa na panya road kwani mtaa mzima-hauna wanaume ? Ukipanda na mtu akakudhuru au kukua wewe ni mpumbavu kuliko aliyekimbia sababu mwenzio ka secure Maisha yake. Na unapaswa uelewe kuna state of emergency hali yako na akili vyote havikutegemea suala kama hilo kutokea angekuwa ndani kalala angalau tungembeza sababu unapolala tegemea lolote. Ila unatoka uani tena mlikuwa mnacheka na wenzioMwanaume utamkimbiaje mwanaume mwenzio kisa kashika upanga.....?????......inavyoonekana kama angekukamata angekufanya lolote....
Mwanaume inatakiwa uwe tayari kwa lolote na wakati wowote........mwanaume hutakiwi kujiachia achia kama binti..............Jamani vitu vingine msiwe mnaongea hata kama ni kujitia uanaume. Hivi wale wanao fungiwa mtaa na panya road kwani mtaa mzima-hauna wanaume ? Ukipanda na mtu akakudhuru au kukua wewe ni mpumbavu kuliko aliyekimbia sababu mwenzio ka secure Maisha yake. Na unapaswa uelewe kuna state of emergency hali yako na akili vyote havikutegemea suala kama hilo kutokea angekuwa ndani kalala angalau tungembeza sababu unapolala tegemea lolote. Ila unatoka uani tena mlikuwa mnacheka na wenzio
Tena una bahati hama haraka sana maana iko siku watakubaka na huo ndio utakuwa mwisho wako,siunajua jinsi ushididi ulivyozagaa nchi hii!Kilichonikuta leo sina hamu ya kupanga nyumba ambayo wapangaji wake ni wanawake tu. Nyumba niliyopanga mwanaume nipo peke yangu kati ya wapangaji saba , wengine ni wanawake ambao hawajaolewa ila wana familia zao.
Tulikuwa tumekaa uwani tuna piga story mnamo kama saa 2 usiku. ilipofika saa tatu kama kasoro robo niliwaacha wenzangu na kuamua kwenda haja ndogo kabla ya kwenda kulala huku wenzangu nikiwaacha wakiendelea kupiga story uwani.
Wakati narudi sasa uwani nikitokea chooni mbele yangu nilimwona mtu kashika upanga mkononi, nikasimama wakati natafakari huyu ni nani na lengo lake nini ghafla akaanza kunikimbiza ikabidi nirudi nyuma nianze kukimbia huku nikipiga kelele za kuomba msaada toka kwa wapangaji wenzangu.
Tukawa tunakimbizana na yule kibaka huku tukizunguka nyumba nilipofika mlangoni kusukuma mlango haufunguki, kumbe wenzangu wamefunga mlango na kukimbilia ndani, ikabidi nipitilize huku nikipiga kelele wanifungulie mlango na huku yule kibaka akiendelea kunifukuza.
Nilipofika mara ya pili tena mlango haujafunguliwa nikapitiliza tena na kibaka naye yupo nyuma, bahati nzuri nilipofika awamu nyingine nikakuta mlango umefunguliwa nikasukuma na kuingia na kufunga mlango haraka alipofika yule kibaka akakuta mlango umefungwa na akaishia tu kusema bahati yako huku na mimi nikimjibu na wewe bahati yako.
Kijana mdogo wa kiume wa darasa la tano ndiye aliye nifungulia mlango baada ya kusikia kelele za kuomba msaada. Wale wadada wengine wamejifungia milango vyumbani kwao.
Nilichukia sana na kama si yule mtoto kunifungulia mlango sijui ingekuwaje na yule kibaka. Kweli nimeamini wanawake wengine si watu wa kuwategemea katika kutoa msaada. Nimepanga kuhama nyumba hiyo naenda kutafuta nyumba ambayo ina wapangaji wanaume au mchanganyiko wa nusu kwa nusu.
Dah!
Unapiga nao story kabisa uani?
mkuu mwenzako ana upanga mkononi na wewe hata fimbo huna unafanyaje ? , hata jkt wanafundishwa mbinu ya mwisho kabisa vitani baada ya kutumia mbinu zote imeshindikana ni kutimua mbio.
ha ha ha mbona unasema ulikuwa mwanaume peke yako na huyo aliyekufungulia mlango hakuwa mwanaume?
UONGO hakuna Komandoo anayekimbia aduimkuu mwenzako ana upanga mkononi na wewe hata fimbo huna unafanyaje ? , hata jkt wanafundishwa mbinu ya mwisho kabisa vitani baada ya kutumia mbinu zote imeshindikana ni kutimua mbio.
Komandoo wa mtaani ni lazima na upanga wako utajiuliza namna ya kumvaa