Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

Ha ha ha ha inachekesha nkiimagine unakimbizwa, unafungua mlango haufunguki unapitilizs lol....pole
 
Sasa hapo na wanawake mnaongea nini ukiwa mwanamme peke yako?
 
mi nkajua kidume cha mpangaji mwenzio kimekuja kuvizia ka unachepuka na mkewe.....wwwwweee POLEE
 
Pole mkuu ,tafuta hela ukae nyumba ya kisebule na chumba cha kulala utaepuka mambo kama hayo
 
Nadhani hao wadada nao watakuwa wanapanga kuhama baada ya kuona mwanaume waliyemtegemea kama kamlinzi kao kapigishwa mduara bila hiana,ni bora ungekimbia ukaenda mbali kuliko kuendelea kuzunguka nyumba.


Yawezekana walitaka kumpima mwanaume anaeishi nao kama ni mwanaume kweli au ni kama wao, sasa wameshapata jibu.
 
Mkuu hakuwa kibaka..ni jamaa alikuwa anakutisha tu baada ya kuona unanuwekea gozigozi kuingia kwa demu wake! Umenifurahisha ulivyomjibu...na wewe bahati yako...wakati ukiwa umejifungia ndani na suruali imelowa kojo!
 
dah uminikata stimu, me nilijua wanakugombania kidume uwape dozi?? sasa lala nao wote ndio watakufungulia siku nyingine
 
Mkuu ulikuwa umepanga wapi na lini unategemea kuhama ili mimi nije kuchukua hicho chumba
 
Mkuu hakuwa kibaka..ni jamaa alikuwa anakutisha tu baada ya kuona unanuwekea gozigozi kuingia kwa demu wake! Umenifurahisha ulivyomjibu...na wewe bahati yako...wakati ukiwa umejifungia ndani na suruali imelowa kojo!

aaaah,aaah
 
Back
Top Bottom