Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

We jamaa muoga Sana,hapo ndio ilikuwa nafasi yako ya kulamba ujiko,unamsubili kibaka yeye pamoja na panga lake,halafu unapiga moja ya chembe..kibaka chali akiinuka hapo Ni mbio tu,hao wadada mbona ungejitafunia tu utakavyo...
 
mhhhh!! umepanga pori gani?hakuna majirani?story ya kupanga tu 4me i can't believe
 
"akaishia tu kusema bahati yako" nami nikamjibu nawe bahati yako"

hahaha mkuu umeua
 
"akaishia tu kusema bahati yako" nami nikamjibu nawe bahati yako"

hahaha mkuu umeua

Yah bahati yake...manake wangekimbizana hadi asubuhi...hahahaaa....
 
Nimekumbuka mwaka jana maeneo ya Ubungo msewe tulikuwa tunakaa mtaa mmoja na wababe fulani.
Kuna siku kama saa nne usiku walianza kurushiana risasi hewani, aisee ghafla tukajikuta tumejazana kwenye choo fulani cha public, nakwambia hata harufu ya mavi hatukuisikia wakti choo kilikuwa na harufu kinoma.
Wakati risasi zinaendelea kurindima, kuna jamaa alichelewa kuja, anafika choo kimeshajaa.
Wakati anaomba msaada wa kujihifadhi kwenye choo, masela wakamwambia abaki nje afe yeye ili kutuokoa na sisi kwa sababu akiingia ndani tutakufa wote.
Haya mambo yaache tu.
 
Wenzio mende tu wanapiga kelele na kuanza kutafuta pa kujificha tena ukisikia kelele unaweza jua mtu maeumizwa kumbe mende tu.

Je hapo anaposikia mayowe ya mwanaume unategemea nini?
 
Itabidi hii mbinu itumike kuwa boost wanariadha wa Bongo, tukusanye vibaka wawatimue round tatu sio mchezo ati Bila kupenda haha wanaweza tuletea medali.

Naamini ulilala usingizi murua.
 
Tabia ya kuponda wanawake imepelekea baadhi ya watu ka mtoa mada kuchukulia jukwaa hili ka la kusema wanawake. Uzi wako unahusianaje na jukwaa hili? Cpat connection, waliomuelewa nisaidieni.
 
Huyo kibaka aliyekuwa anakufukuza ni wa kike nini?Kwa mbio gani ushindane na kibaka asikufikie mpaka unafunguliwa mlango?
 
Ha ha ha ha inachekesha nkiimagine unakimbizwa, unafungua mlango haufunguki unapitilizs lol....pole

Sipati picha kama sauti ilitoka wakati akimjibu kibaka "na wewe bahati yako"

hii stori imenichekesha sana aisee!!
 
Yah bahati yake...manake wangekimbizana hadi asubuhi...hahahaaa....

Mi nafkiri walikua wanataniana.... maana dah ule mwisho wa kurushiana mikwara nimebaki nacheka tuu.....
 
changamsha genge..

Hii story yako bhana...

ananipa wasiwasi

mhhhh!! umepanga pori gani?hakuna majirani?story ya kupanga tu 4me i can't believe

.......haahah alichokumbuka ni kuja kutupasha habari saa saba kasoro za usiku huo huo.....

Started by ligera, Today 00:41
Kilichonikuta leo sina hamu ya kupanga nyumba ambayo wapangaji wake ni wanawake tu. Nyumba niliyopanga mwanaume nipo peke yangu kati ya wapangaji saba , wengine ni wanawake ambao hawajaolewa ila wana familia zao.

Tulikuwa tumekaa uwani tuna piga story mnamo kama saa 2 usiku. ilipofika saa tatu kama kasoro robo niliwaacha wenzangu na kuamua kwenda haja ndogo kabla ya kwenda kulala huku wenzangu nikiwaacha wakiendelea kupiga story uwani.
.....
 
Sipati picha kama sauti ilitoka wakati akimjibu kibaka "na wewe bahati yako"

hii stori imenichekesha sana aisee!!

Ha ha ha mkwara huo et bahati yako wakati kishatoka nduki
 
Hahaha, co kibaka ila ulikua unajaribiwa uanaume wako upo wapi, but alivoona na wewe ni sawa tu na waliojifungia akaamua akuache.
 
We jamaa muoga Sana,hapo ndio ilikuwa nafasi yako ya kulamba ujiko,unamsubili kibaka yeye pamoja na panga lake,halafu unapiga moja ya chembe..kibaka chali akiinuka hapo Ni mbio tu,hao wadada mbona ungejitafunia tu utakavyo...

mhhhhh
 
Back
Top Bottom