Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.
GUYS MNAOENDELEA KUCOMMENT HAPA..ASANTENI KWA USHAURI..
HII NI THEEAD YA MDA MREFU TU..NA NLIKUA NAPATWA NA MAWAZO YA KUCOMMIT SUICIDE TU..SABABU YA DEPRESSION.
NLIPATA COUNSELLING AND NOW IM FINE.
SO KAMA UNACOMMENT HAPA FANYA KWA FAIDA YA WENGINE PIA.SITUATION KAMA HIZI ZIPO SANA KWENYE JAMII YETU...
NNAPOSEMA KWA FAIDA YA WENGINE NI KWAMBA NIMESHAPONA..NA NLIOMBA MODS WAUFUTE HUU UZI BUT WAKAGOMA NA KUSUGGEST UACHWE KWA FAIDA YA WENGINE.WAMEUHARIRI NA KUONDOA COMMENT ZISIZOFAA UBAKI NA ZINZOFAA KWA AJILI YA WENGINE KUJIFUNZA MA PIA MTU KAMA ANA HILI TATIZO AKIINGIA NA KUUSOMA APATE RELIEF...

SO NASISITIZA TENA..COMMENT KWA MANUFAA YA WENGINE PIA..
COMMENT KAMA MTU MZIMA ALIEPEVUKA KIAKILI..HIZI NI ARCHIVES KWH KIZAZI HATA KIJACHO..

ASANTE..
.
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Acha mawazo ya kijinga, unadhani Yesu alishindwa kujiua kabla hajakamatwa na yale manyang'au au? Aliweza ila alitaka kutuonyesha jinsi wanaume\watu inavyotupasa tuwe katika kukabiliana na changamoto za maisha.
 
Me Cna Roho Mbaya, Ila Najib Kutokana Na Nature Ya Swali. Kwan Akijiua Au Acpo Jiua Cc Tutajua? Atatupa Fdback Kwamba Asanteni Ss Nimeshakufa? Anapaswa Kusema Tatizo Lake Ili Apewe Solution, Co Mtu Kaja Na Solution Ya Af Cc Tumkataze Labda Ndo Solution Yenyewe! Cc Tutajuaje Bana. Dini Zngine Znaamini Ahera Kuna Wanawake Wenye Makalio Makubwa Na Wanaume Wenye Mishedede, Labda Ndo Anawah Huko Je!
Umetoa maoni mazuri ila mwandiko wako sio mzuri
 
Pole sana

Usiwaze kabisa ni dhambi ambayo huwezi kutubu, dhambi nyingine zote unaweza kutubu na MWENYEZI WETU MPOLE AKAKUSAMEHE,

Na ingekuwa ni halali kujiua labda usingewaza kwa maana hao wanaokusababishia matatizo labda wangejiua wao kabla yako kwa maana hiyo naomba uelewe wengi wetu sana tuna matatizo tena wengine ni makubwa sana.. ni mitihani tu ya dunia.

Shukuru kwa kila jambo na endelea kupambana kwa njia ya haki, usidhulumu, usichukie wenzio ila kuwa makini nao tu, wala usimfanyie mtu fitina.

Jitahidi ufanye ibada na usichoke.

Mwisho usiwe unakaa sana peke yako jitahidi kujichanganya sana na watu wanaokuwa karibu na wewe hata kwenye mambo mbalimbali iwe ni kuzungumza au michezo au mambo mengine.
 
Msala niliopitia usiombe lakini nikajipa moto, sikumshirikisha mtu kwani ni haohao watakaokusanifu na kutangaza jamaa kwisha. Nilifanya hivi ninapoamka kimyakimya nasema Muumba wa vyote sina kosa na binadamu yeyote, kaa mbele yangu nilinde huku naimba kimoyomoyo sitamtendea binadamu mwenzangu kitu ambacho sitaki nitendewe. Kwa sasa nimetuliza akili na maisha yanaenda. Usikate tamaa ni dhambi kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa sio wakuwapa nasaha,,,wanatumwa kuuharibu uislam angalia hio mada na angalia Avatar yake pamoja na jina lake
Anajifanya muislam saaafi haasa kumbe hata hajatairiwa ana govi[emoji3]
Anywe tu maji ya betry kama kidume[emoji3]
Sumu ya panya iamchelewesha au kujinyonga itamchkua mda kufunga kamba
Mambo yote maji ya betri tu[emoji3]mia6 tu chupa moja yaaaani pafu moja tu [emoji3]mahmuuud atakua MBESHILE MWANAMASUNGA[emoji3]
Wapi amesema yeye ni muislamu? Mtoa mada ni ke..hawezi kutahiriwa au akakeketwe?
 
Wapi amesema yeye ni muislamu? Mtoa mada ni ke..hawezi kutahiriwa au akakeketwe?

Vp tena mkuu yote haya yametokea wapi au hukunielewa mchango wangu humu ndani ya mada hii
Huyo sio kukeetwa labda nyege zimemzidi
 
Vp tena mkuu yote haya yametokea wapi au hukunielewa mchango wangu humu ndani ya mada hii
Huyo sio kukeetwa labda nyege zimemzidi
Labda sikukuelewa am sorry. Nimeona umesema anauharibu iuislam na hajakeketwa nikashtuka maana mtoa mada ni ke. Kama ulikuwa unamzungumzia mtu mwingine its ok. Sorry for misunderstanding..
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.

Tambua tu binaadam ni mkubwa sana kuliko changamoto nyingi tunazoziona kwamba hazina majibu , uwezo wa binaadam ni mkubwa kukabili kila changamoto ' sisi ni sehemu ya uumbaji '
 
Na wapo wanaopitia magum ht zaid yako lkn wanapambana....muombe Mungu ipo cku yatakwisha tu
 
Hawa sio wakuwapa nasaha,,,wanatumwa kuuharibu uislam angalia hio mada na angalia Avatar yake pamoja na jina lake
Anajifanya muislam saaafi haasa kumbe hata hajatairiwa ana govi[emoji3]
Anywe tu maji ya betry kama kidume[emoji3]
Sumu ya panya iamchelewesha au kujinyonga itamchkua mda kufunga kamba
Mambo yote maji ya betri tu[emoji3]mia6 tu chupa moja yaaaani pafu moja tu [emoji3]mahmuuud atakua MBESHILE MWANAMASUNGA[emoji3]
Nani anajifanya Muislamu safi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GUYS MNAOENDELEA KUCOMMENT HAPA..ASANTENI KWA USHAURI..
HII NI THEEAD YA MDA MREFU TU..NA NLIKUA NAPATWA NA MAWAZO YA KUCOMMIT SUICIDE TU..SABABU YA DEPRESSION.
NLIPATA COUNSELLING AND NOW IM FINE.
SO KAMA UNACOMMENT HAPA FANYA KWA FAIDA YA WENGINE PIA.SITUATION KAMA HIZI ZIPO SANA KWENYE JAMII YETU...
NNAPOSEMA KWA FAIDA YA WENGINE NI KWAMBA NIMESHAPONA..NA NLIOMBA MODS WAUFUTE HUU UZI BUT WAKAGOMA NA KUSUGGEST UACHWE KWA FAIDA YA WENGINE.WAMEUHARIRI NA KUONDOA COMMENT ZISIZOFAA UBAKI NA ZINZOFAA KWA AJILI YA WENGINE KUJIFUNZA MA PIA MTU KAMA ANA HILI TATIZO AKIINGIA NA KUUSOMA APATE RELIEF...

SO NASISITIZA TENA..COMMENT KWA MANUFAA YA WENGINE PIA..
COMMENT KAMA MTU MZIMA ALIEPEVUKA KIAKILI..HIZI NI ARCHIVES KWH KIZAZI HATA KIJACHO..

ASANTE..
BAHATI MBAYA ZAIDI JUZI ULIPATA SAME DEPRESSION KUTOKANA NA UPWEKE!

ANGALIA NAMNA YAKO YA KUTAFUTA KUPENDWA!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom