Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Niliitazama hii show live kupitia Ceek.com WELL sikuamini kama hii ni Tanzania-the guy killed it.Hii team ya Harmonize inastahili pongezi. Kumbe Watanzania we can do it tukiamua.The part anashuka na stage with the daughter was soo emotional!!!!! Ubunifu was spot on.Its just a matter of time kabla music wetu ufike heights za juu
 
Huyu dogo bure Sana na mbaya said hashaurik
Ndo maana unaona jembenijembe
Yupo to kimya dogo bangi zinamzid
Mshauri kwanza baba yako aache kunywa viboboswa ndio uanze kushauri watu waliokuzidi kila kitu.
 
Kwani Wale papasi wenye uzi wako wapi?

Anyway harmonize ni msanii mkubwa sasa amekaza Sana
 
Game sio lelemama..., binafsi badala ya kumshutumu / kumcheka..., nampa Hongera hata hapo alipofika kulinganisha na alipotokea...

He has done Great..., a few can afford to say the same...
Jamaa amepambana haswa, si fan wake ila naheshimu sana hustle zake..
 
Back
Top Bottom