Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Jukwaa linafungwa tayari kwa show hapa tabata shule ,tatizo hakuna parking na uwanja ni mdogo sana
 
Jukwaa linafungwa tayari kwa show hapa tabata shule ,tatizo hakuna parking na uwanja ni mdogo sana
Mwenyewe najiuliza parking itakuwa wapi au ndipo watatumia ile space ya kanisa la kilokole na hotel ya green light ambapo napo ni padogo na sijui kama watakubali,bado kutengeneza uzio kuzuia wazamiaji.

Daah kiusalama bado hapajakaa vizuri naona wahuni wa matumbi, buguruni na vingunguti watakavyo ISHI. Kwanini asingechukua viwanja vya Posta.
 
Sijajua nani kawashauri japo nafurahi wameniletea burudani mtaani ila najua hawatarudia tena kwa kero watakayopata
 
Dogo anatunisha tu mwili na mi suppliment.

Hilo ndio analoweza kwa sasa

Halafu anatuimbia "outside outside outside!!!! ...". Holly cow!!

Yeye na jamaaake wa zamani domo wote wameisha sema.domo na vijehela na vitegeuchumi ndio maana yupo yupo tu.

Ila nae kaisha tu
 
Nimeshafika Cask ni kama useme Zuchu ameijaza Juliana pub au Kitambaa cheupe au Kidimbwi. Pale kunajaa bila kuwa na msanii yoyote na hata kina Barnaba wanafanya show na kunajaza sana
...the show was different whoever attended atakwambia ...hadi ilibidi tukaimarishe ulinzi kuanzia shell ya Olympic...the man is phenomenal kutoboa especially nje ya Wasafi muulize Rich Mavoko atakwambia.
 
Mzee wa kuahirisha matukio

Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.

Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Kama nakuona ulivyo mstari wa mbele kwenye show huku unachukua video ya kila tukio, unakenua kenua unasahau kama uliandika uchawi Jf,

Nakukumbusha
 
Back
Top Bottom