Siombi kazi tena....Mnfyuuuuusssss!!!!

Siombi kazi tena....Mnfyuuuuusssss!!!!

Xaxa usifyonye watu bana! Kuna waliotajirika kwa kazi za kuajiriwa hizo hizo hebo!
 
kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo guanzuu aka kariakoo......aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya network marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya wamerekani!
aise ni pm nlikuwa natafuta mtu kama wewe saana.plz pm mie tuongee
 
Sizitaki mbichi hizi.....

Napenda kujiajiri lakini sio kwa style ya kuponda walioajiriwa. Pia kumbuka wabongo wengi Mitaji inatoka kwenye ajira. Hata waliojiajiri na wajasiriamali wa ki bongo wapo wanaofanya mambo ya hovyo pia. Mwisho nakushauri ujifunze maana ya mjasiriamali na mchuuzi. Wachuuzi sio wajasiriamali.

Ujasiliamali upo ndani ya uchuuzi, kwa hiyo mchuuzi anaweza kuwa na entrepreneurship culture.
Angalia hii,nakwenda sokoni najumua matunda mbalimbali natengeneza mixer ya matunda hayo kama kachumbali. Kila sahani sh 500.
 
Mchuuzi ni yule anayenunua bidhaa na kwenda kuiuza kwa bei kubwa bila kuongeza thamani ya bidhaa (Value addition). Ukinunua matunda na kwenda kutengeneza juice maana yake umeongeza thamani na wewe ni mjasiriamali, kuna creativity hapo. Ila ukichukua bidhaa kama nguo kariakoo na kwenda kuziuza mwenge kwa kuongeza bukubuku wewe ni mchuuzi sio mjasiriamali
 
Xasa wote wakijiajili na je yale makampuni,au mashirika vikiwemo viwanda c vitakosa kazi na uzarishaji utapungua nchini.coz me najua kuwa zipo kazi nyingi tu zinazo hitaji waajili...... Mi naona kuajiliwa sio kitu kibaya... .pia unaweza ukaajiliwa na uku ukajiajili......HAYO NDO MAISHA YA MUJINI,
 
Mchuuzi ni yule anayenunua bidhaa na kwenda kuiuza kwa bei kubwa bila kuongeza thamani ya bidhaa (Value addition). Ukinunua matunda na kwenda kutengeneza juice maana yake umeongeza thamani na wewe ni mjasiriamali, kuna creativity hapo. Ila ukichukua bidhaa kama nguo kariakoo na kwenda kuziuza mwenge kwa kuongeza bukubuku wewe ni mchuuzi sio mjasiriamali

chkua like mkuu wangu..!
 
kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo guanzuu aka kariakoo......aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya network marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya wamerekani!

kujiajiri ni njia nzuri sana, hongera sana, umepunguza msongamano wa cv ktk maofisi ya watu, washauri na wengine wenye mitaji waangalie fursa, halafu wazikamate. Lakini kila mtu ana mapungufu yake, siyo vizuri kuwaponda, kama wanatumia hawajaiba waache wazitumie. Si rahisi kujua unakosa kitu fulani mpaka ukipate, na si rahisi kutambua umuhimu wa kitu mpaka ukipoteze.
 
kijana una kuja juu sana taratibu maana naona ushapandwa na mzuka wa kujiajiri
hongera zako ila usiwaponde walioajiriwa kwani na wao walianza kama wewe
kuwa mstahimilivu basi, tumia lugha njema
 
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya Wamerekani!

Mkuu sio kwa niaba.Ni kwa hisani ya watu wa marekani
 
Mh. Kujiajiri nayo si Issue rahisi kihivyo. Kwa mfano tangu utotoni mwako hujawahi fanya biashara hata japo ya kutembeza karanga usijejaribu ukafanya ukubwani. Na ikiwa wewe hujatokea katika kabila la kibiashara mfano Mha, Mkishmundu,Mpare, asee think twice kabla hujazamia huko.
 
baada ya sungura
kuruka sana na kushindwa kuzifikia zile ndizi alijisemea, SIZITAKI MBICHI HIZI
 
Tabu ya kujiajili utkuja kuiona pale utakapougua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom