Siombi kazi tena....Mnfyuuuuusssss!!!!

Siombi kazi tena....Mnfyuuuuusssss!!!!

kb52

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
336
Reaction score
110
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya Wamerekani!
 
Sizitaki mbichi hizi.....

Napenda kujiajiri lakini sio kwa style ya kuponda walioajiriwa. Pia kumbuka wabongo wengi Mitaji inatoka kwenye ajira. Hata waliojiajiri na wajasiriamali wa ki bongo wapo wanaofanya mambo ya hovyo pia. Mwisho nakushauri ujifunze maana ya mjasiriamali na mchuuzi. Wachuuzi sio wajasiriamali.
 
mi nauliza tu maana nimesoma shule ya kata, hivi ni 'hunt mouth' au 'hand to mouth?'

unakula unachokipata yote na hakuna hata Akiba unaobakiza kama surplus hope umenipata mkuu.
 
nipe maujanja mkuu, kwa biashara unayoifanya sasa mfano ukiwa na mtaji wa laki 5 inachukua muda gani kutengeneza 5m, na hapo kariakoo ni mali gani zinapelekwa mikoani, maana navyoelewa ni kuwa mali zatoka mikoani ndyo zinapelekwa kariakoo. Nishauri mkuu wangu mwekezaji.
 
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya Wamerekani!
idea yako nzuri ila kuponda wanaofanya kazi na wapatao mikopo ni wazi kua umekula kitu kinachoitwa shisha tena iliyomixiwa na kibanzi.
chunguza pia huyo uliyempiga mzinga naye ni mkopaji pia!
 
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.

Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....

Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.

Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.

Kwa niaba ya Wamerekani!

Taratibu kijana, kila mtu aliyefanikiwa kiasi amepatwa na mitihani kama yako.
 
Hao ndugu na jamaa unaotaka kuwapiga mzinga hawajaajiriwa????? Hivi unadhani watu wote wanapaswa kujiajiri??? Ushawahi kufikiri kama ingetokea watu wote wakajiajiri ingekuwaje?????
 
Naona kama umekuja nusu nusu. Umeongelea suala la kufanya biashara toa Dar peleka mikoani kwa mtaji wa laki 3 lakini hujaongelea cost zako na faida yako. Unawapa watu matumaini halafu huwaonyeshi watakulaje mema ya nchi. Acha ulaghai mkuu. Ni kweli kujiajiri kunalipa ila lazima useme kunalipaje lipaje. Jipange urudi tena na mchakato mahususi
 
Wewe nakukumbuka sana ulikuja na post hii hapa ukililia kuajiriwa--->
www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/507709-daah-ajira-ngumu-aisee.html

Kwanza si busara kutukana mamba wakati bado hujavuka mto (haya yanaitwa "maneno ya mkosaji").
Pili hujataja mafanikio ya huo ujasiliamali ili uwashawishi wengine wenye mawazo ya kuajiliwa wajiajiri wenyewe (Ina maana kuwa una fikra finyu)
Tatu haukutilia maanani ushauri mzuri uliopewa na wadau wakati ulipolalamikia ugumu wa ajira (fikiri kabla ya kutenda na usikurupuke tu)

Jipange upya
 
Huyu ndugu kuna siku alikuja hapa na habari za kusema ajira zinatolewa kwa upendeleo na blabla nyingi sasa leo anataka kuonekana entrepreneur
 
Hao ndugu na jamaa unaotaka kuwapiga mzinga hawajaajiriwa????? Hivi unadhani watu wote wanapaswa kujiajiri??? Ushawahi kufikiri kama ingetokea watu wote wakajiajiri ingekuwaje?????

Kashasahau "Specialization & Division of Labour" Hajui hata elimu aliyonayo, ni kwasababu wako watu walioajiriwa. Angalia usije kuwatukana hata wazazi wako, kisa unatengeneza pesa kuliko wao.
 
Kwa jinsi alivolalamika siku ile kuomba msaada wa ajira, sidhani kwanini leo anakashfu kuajiriwa. Inamaana tokea August 19 hadi leo umeshaua mjas'mali na umeshaona matunda? Labda uwe punda aka container.
 
Huyu ndugu n ugumu wa maisha umemfanya akurupuke kufanya maamuz sawa n mpango madhubuti lakini inabdi pia upate manufaa kwaukifanyacho kwa mtaji huo mara nauli kulala cdhan
 
idea nzuri sana , kazi za kuajiriwa ni manyanyaso sana sana na wakati mwingine unafikiria kuwa hata hio salary yao unaweza kuitepata kwa week.....
 
kweli bora tujiajiri tu kuondokana na manyanyaso ya baadhi ya waajiri wanakera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom