Sioi Solomon Sumari kugombea Arumeru

Na huyu wiliam sarakikya anahusika na mediapix iliyochota pesa za umma na kugharamia mabango ya ccm 2010 tunamsubiri jukwaani atueleze
 
Jana nilikuwa usa river,wapiga kura wengi waliosikia kuwa mtoto wa marehemu mbunge Sumari, Sioi Sumari na mtoto wa mkuu wa zamani wa jeshi meja Sarakikya,willy sarakikya ni dalili za kuwadharau watu wengine wa jamii hiyo.wamesema ubunge wa meru si ufalme wa kurithishana kwa familia zilizoshiba wakati wowote.
 
Hivi kweli baba yako kafa hata siku ngapi bado wewe umeshawahi
kuchukua fomu, kwa hiyo amefurahia kufa kwa mzazi wake siyo,
hilo sasa ni jimbo la CHADEMA, Chagueni CHADEMA CHAGUA MAENDELEO.

mamndenyi hilo ndo neno,tupo jimboni huku mwaka huu patachimbika
 
Binafsi sioni ubaya kama mtu anatimiza haki yake ya kikatiba. Isitoshe hamna sheria inayozuia mfiwa kugombea ubunge hata kama mzazi wake alikuwa mmbunge.
 
saragossa bana'ingekuwa wewe ungefanya hivyo?,mambo mengine ni kutumia akili za kibinadamu'watu watakuonaje kwani lazima uwe mbunge kama baba yako??hivi hawa jamaa hawana kazi za kufanya mpaka watamani kuwarithi baba zao?
 
Nchi hii highly paid civil servant with full diplomatic stutas ni ubunge., Lakini pia ukitaka mambo yako ya kutafuta utajiri kwa biashara zisizolipiwa kodi ubunge na hasa ule wa ccm ni mahali pake. Na ndio maana unaweza hisi kuwa vijana wanafurahia vifo ili wapate ulaji.
 
Hizo zote ni njama za Lowassa kutaka kuonesha power yake huko Arusha; sasa hapo ndio wanaArusha wanaweza kuonesha kuwa fedha sio kila kitu na uongozi CCM hautanunuliwa kwa pesa tena!!
 
MM, inaonesha unahoja nzuri lakini umeandika kwa kasi mno kama vile unawahi mbuguni kuchungulia mgodi ulioteema. Unasema wapigakura walivosikia watoto wa Sumari na Sarakikya...............malizia, wamesikia nini?. Ok, hata kama ni kweli hawa watanzania uliowasema wamechukua fomu kuomba kuteuliwa na vyama vyao- hapo wamekosa nini?!, yaani mtu kuomba kazi kwa njia halali ni kosa?, , well, nami nipo Meru- mtoto yeyote wa marehemu Sumari awe Sioi, Kisari au mamii akichukua fomu jimbo tunampa................ Hawana mpinzani. Sumari family oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Jana nilikuwa usa river,wapiga kura wengi waliosikia kuwa mtoto wa marehemu mbunge Sumari, Sioi Sumari na mtoto wa mkuu wa zamani wa jeshi meja Sarakikya,willy sarakikya ni dalili za kuwadharau watu wengine wa jamii hiyo.wamesema ubunge wa meru si ufalme wa kurithishana kwa familia zilizoshiba wakati wowote.
 
Nimecheka kweliiii kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sisiemu kama wehuuuuu unajuaaaaaaaaaaaaaaa yaani wameshafanya kama sehemu ya familia lile jimbo nimeona na somebody sarakikya nae nimecheka sana ila walivyowapuuzi wanaweza kumpa si uanajua mzee hata kupata unaibu alimfadhili sana mzee kwenye kampeni yetu so sidhani anaweza kumwacha na jamaa siku zote za msiba nilijiulkiza mbona kavaa nguo za ccm kumbe yuko kikazzi zaidi anyway all de best

Kilichokuchekesha nini?
 
Gama tuna rasilimaliwatu wengi meru wanaofaa si lazima familia za vigogo,ijengeke tabia sasa kwa wtzania kuwanyima kura watoto wa wakubwa bcoz wao wana mitaji na njia nyingi hasa haramu,na halali za kimaisha,wy they contest on mp....kama ulijua nna haraka,naenda shambani valesca
 
Kaazi kweli kweli.
Lakini kama akipitishwa na chama chake na wanaarumeru wakamchagua, bado atakuwa ni chaguo la watu na si karithishwa. Tatizo ni je uchaguzi wenyewe utakuwa huru na wa haki?
 
Kwani bro lazima ugombee,politics is the talent so kama unaingizwa ndo nyie nyie kina kibajaj wapeleka taarab bungeni.tunaenda mlimani kufunga na kuomba ili chadema wapite
 
Gama tuna rasilimaliwatu wengi meru wanaofaa si lazima familia za vigogo,ijengeke tabia sasa kwa wtzania kuwanyima kura watoto wa wakubwa bcoz wao wana mitaji na njia nyingi hasa haramu,na halali za kimaisha,wy they contest on mp....kama ulijua nna haraka,naenda shambani valesca
Mkuu inaomekana hao watoto wa vigogo ni tishio. Hao anaomba kuteuliwa tena madhani na CCM na unasema Arumeru mna rasrimali watu kibao. Basi waacheni wachukue form mmojawapo ateuliwe na CDM isimamishe rasrimali mtu mzuri na anayekubalika atakaye mgaragaza huyo mtoto ww kigogo.
 

Kama mambo yakiendelea kama kawaida, CCM lazima itakwapua ushindi wa jimbo hili. Hii Tume ya Uchaguzi ni kikwazo kikubwa kwa mabadiliko. Hata hili la Katiba mpya kuhusisha Tume ya Uchaguzi litakuwa kazi bure
 
Back
Top Bottom