Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Sio wakati wa kuitabiria mabaya CHADEMA

Unajiuliza wakati majibu yako wazi ?

Matumizi mabaya ya akili na muda haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada inahusu "sio wakati wa kuitabiria CHADEMA anguko", hivyo maswali yangu yaliwaliwalenga WanaCHADEMA, siyo mimi kwani nina majibu ambayo hayatawapendeza nikawekwa kwenye kundi la kuitakia mabaya.
 
How do you fight against your oppressor?
By begging, by kneeling down ..Frantz Fanon policy is the best of all.
Negotiations is not the same as begging, no one is been asked to beg. Nyerere secured our independence by negotiating with colonial power. Mandela negotiate with minority regime, Trump negotiated with the Taliban. Even Mbowe suggested the country need to sit down and find better way forward (politically).
 
Kuhusu mwenendo wa CHADEMA kisiasa huwa najiuliza ni ugonjwa gani unawasumbuwa WanaCHADEMA kiasi hawabadiliki?

Wapi Movement for Change (MC4)?

Ilikuwaje maandamano nchi nzima hayakufanyika?

Ni matokeo gani chanya, Chama kama chama, kinapata Wabunge wanaposusia vikao vya Bunge, hasa vya bajeti?

Je, ni kweli viongozi wanaokihama chama wananunuliwa?

Je, ni kweli viongozi waliopotea kuns mkono wa Serikali?

Mbowe kawafanyia nini kiasi VIONGOZI wenzake, wanachama na wafuasi hawathubutu kumhoji kuhusu kauli na matendo yake, kama wenyeviti wa vyama vingine, km fukuza fukuza ya viongozi wenzake na matumizi ya fedha za chama?

Majibu ya maswali hayo, na mengineyo, ambayo tutayauliza wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, yatakuwa kipimo cha uhai wa CHADEMA.
Wewe bado Una nyonya lazima. Ukiacha ziwa Utakuja kusimuliwa na kupata majibu ya maswali na dilemma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bado Una nyonya lazima. Ukiacha ziwa Utakuja kusimuliwa na kupata majibu ya maswali na dilemma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una fikra za mtu kunyonya kwa nini isiwe wewe.

Nimeuliza maswali kwa wanaCHADEMA kujitathmini. Huwezi kufanya mabadiliko pasipo tathmini ulipotoka, ulipo na unapotarajia kufika.
 
Tathmini katikati ya lockup ya kikatili?

Jr[emoji769]
 
Mtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.

Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.

Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Umefikiri sawasawa?
 
Ili chama kiwe makini, lazima kuwe na watu makini, viongozi wa sas chadema sio makin wapo wapo tu hawana focus kubwa , ishu yao ni kudandia dandia hoja za ccm, chama km chadema kikipewa nchi litakuwa ni janga kubwa mnoo cause hamna anayejitambua pale.
 
Kwa kweli binadamu tumetofautiana sana kimaono na kimsimamo!

Tangu nizaliwe sijawahi kukipenda chama cha siasa.

Baada ya kujitambua, nikagundua nchi nyingi za kiAfrika vyama vya siasa tangu nchi zao zijipatie uhuru zimekuwa na sera danganya toto sana, sera na ilani zisizotekelezeka.

Vimekuwa ni kwa ajili ya kushindia uchaguzi tu na si kwa ajili ya mustakabali wa nchi zao na wakishayakwaa madaraka hata wasipotekeleza waliyoyaahidi hamna namna nyingine ya kuwafanya, mtawafanya nini, kwa sheria ipi.

Hapa kwetu, ubabaishaji wa Ccm tangu enzi za Nyerere ulishusha imani ya waTz walio wengi.

Kilipokuja Nccr ya Mrema kwenye uchaguzi wa '95, watu wakajua ni chama mbadala, kumbe ni mamluki lililopenyezwa upinzani kuvuruga mageuzi, ni mwendo wa mikesi isiyo kichwa wala miguu hadi upinzani ukasinyaa!

Alipokuja Dr Slaa Cdm, mwanga wa mageuzi ya kweli uliwaka, tukajua kumekucha tukafurahi tukapenda na imani yetu tukaiwekeza huko!

Ebanaee! Mbowe alivyokuja kukifanyia Cdm kwenye mchakato wa uchaguzi '15 ni yeye na Mungu wake ndiyo anayejua.

Mrengo wa Cdm ya Slaa alivyokuja kuuvagaa Magufuli, binafsi imani yangu na upendo wangu nimeuhamishia kwake, ingawa bado cjaipenda Ccm (hili laweza kuwa na mjadala wake pia).

Sasa ninyi mnaopenda vyama, sijaelewa ushabiki wenu mmeujenga juu ya sera ama juu ya viongozi wa vyama husika?

Kama ni sera labda, lakini kama ni sera pamoja na viongozi wa vyama husika, nitashindwa kuwashangaa mnaoendelea kuwekeza imani zenu kwa viongozi walioharibu kwa kuvuruga vyama dhahiri kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao binafsi.

Huenda ikawa sasa, mijadala hii inaanzishwa na viongozi hao hao kwa ajili ya kupima upepo, maana Jf hii ni bahari!

Ndiyo tunauliza, hakuna mTz anayeweza kuunda chama cha upinzani mbadala 'cha maana'?

Maana tunajua Jpm atakapong'atuka, mumiani ya Ccm aliyoyafubaza kwa ghadhabu zake ambayo Kikwete aliyaita mafisi, bado yapo yakisubiria udhaifu wa rais ajaye ili yaendelee kuvuruga nchi.

Ikitokea hivyo, Ccm ifurushwe kwenye sanduku la kura 'maisha', sasa kwa chama kipi, hiki hiki Cdm cha Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili chama kiwe makini, lazima kuwe na watu makini, viongozi wa sas chadema sio makin wapo wapo tu hawana focus kubwa , ishu yao ni kudandia dandia hoja za ccm, chama km chadema kikipewa nchi litakuwa ni janga kubwa mnoo cause hamna anayejitambua pale.
Kuwa mpole wakati utasema
 
CHADEMA isibezwe! CCM wanatanga na nyika
 
Ili chama kiwe makini, lazima kuwe na watu makini, viongozi wa sas chadema sio makin wapo wapo tu hawana focus kubwa , ishu yao ni kudandia dandia hoja za ccm, chama km chadema kikipewa nchi litakuwa ni janga kubwa mnoo cause hamna anayejitambua pale.
Wacha weeeee !!!
 
P ye alishasema pamoja na taaluma yake ya Habari Lakini ni kada mtiifu wa CCM . Kwahyo tunapoichambua Hoja ya P tunatakiwa kuichambua kama hoja ya kadqa Mwenyew itikadi ya chama Cha mapinduzi,lakini Sio mwanahabari anayeweza kujenga hoja isiyoegama upande fulani katika mizani ya Haki

Mi simtazami P km mwanahabari kiutendaji bali ni mwanahabari kitaaluma kwasasa ,baada ya kutangaza interest zake kisiasa. Namtazama kama kada wa chama.Kukiponda,kukikosoa chama Cha demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) ni haki yake kwasababu ni kada wa CCM
 
Back
Top Bottom