Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

Watanzania walivyokuwa na vichwa vigumu, hakuna aliyeweka akiba ya chakula wala kuhama mabondeni.
Hii ni kama October 29 watu hawakujiandaa, baada ya kukumbuka mateso ya October 29 Machi ya pasaka wakajaza misosi ndani baada ya Mange Kimambi kutishia tena kuwa kuna maandamano.
Kama litakuja vua la maana tutarajie misiba. Ishukuriwe serikali ya CCM ilikumbuka kuweka mitaro DR es salaam yote
 
Hii el niño ikiwa na maafa, serikali iwajibike.
Mamlaka ya hali ya hewa wametoa tahadhari mapema mno, hadi watoto wana idea ya kitakachotokea.

Halafu kuna hawa wendawazimu wanahamasisha usafi halafu dustbins mitaani hakuna, sijui hizo taka raia wazitupe wapi kama sio kwenye mifereji.
 
Tunakwenda kuumia sasa!
Screenshot_2025-11-28-09-50-29-40.png
 
😀 ndiyo ushangae na wewe mkuu waswahili wao ni bora wajenge tu ila kuchunguza kwamba najenga wapi hizo sio shida zao.
Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.
 
Watanzania walivyokuwa na vichwa vigumu, hakuna aliyeweka akiba ya chakula wala kuhama mabondeni.
Hii ni kama October 29 watu hawakujiandaa, baada ya kukumbuka mateso ya October 29 Machi ya pasaka wakajaza misosi ndani baada ya Mange Kimambi kutishia tena kuwa kuna maandamano.
Kama litakuja vua la maana tutarajie misiba. Ishukuriwe serikali ya CCM ilikumbuka kuweka mitaro DR es salaam yote
Mkuu issue sio mitaro maana huwa inazidiwa.

Inatakiwa watu wahame mabondeni na huko vichochoroni wanako ishi.
 
Hii el niño ikiwa na maafa, serikali iwajibike.
Mamlaka ya hali ya hewa wametoa tahadhari mapema mno, hadi watoto wana idea ya kitakachotokea.

Halafu kuna hawa wendawazimu wanahamasisha usafi halafu dustbins mitaani hakuna, sijui hizo taka raia wazitupe wapi kama sio kwenye mifereji.
Na magari pia ya kubeba hizo taka hamna.

Kiufupi wanafanya mambo wasiyo yataka uchafu kwao ndiyo maisha.
 
Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.
Changamoto sana Mkuu.

Mfano hii picha ya-pili utaona kwa upande wa juu kuna makazi inamaana walikuwa wanajua nini huwa kinatokea upande wa chini ila walikaa kimya.

Mamlaka za makazi nazo pia changamoto.
 
Back
Top Bottom