Huu mkoa gan mkuu mbona watu wamejenga katika njia pana ya mto?Tanzania 🇹🇿 Mkuu el nino hiyo.
Mbona mods wamepita na Uzi wako murua bwashee, kunani?Inanikumbusha 97
Amina....ilainatupasa pia kuchukua hatuaMungu atusaidie maana kwa akili zetu wenyewe na nguvu zetu wenyewe hatutaweza.
Achana nao bwashee tusonge mbele tuMbona mods wamepita na Uzi wako murua bwashee, kunani?
Ni kweli mkuu, lakini najua kuna akina sikio la kufa ambao hawasikii dawa.Usikae mabondeni mkuu. Kama unawatoto waamishe kabisa.