Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 983
- 1,845
Isije ikawa ni AIHii ni lini na wapi
Isije ikawa ni AIHii ni lini na wapi
Ni kama nawaona vile walivyoning'niza mifuko yao ya mapupu mbele ya kompyuta wakiangalia nyuzi zinazowachoma.Achana nao bwashee tusonge mbele tu
Hahahaha kuna fuko mavi karipoti , ndio taarifa ninazopata sa hiiNi kama nawaona vile walivyoning'niza mifuko yao ya mapupu mbele ya kompyuta wakiangalia nyuzi zinazowachoma.
Elninyo ya kichina mnatuongezea joto tu Dar mabwege nyieHama mabondeni mkuu(kama unaishi huko).
97 juzi tu mkuuHiyo sikuona mkuu(kumbe wewe muhenga au uliisoma?).
Dah! 😂😂😂Hahahaha kuna fuko mavi karipoti , ndio taarifa ninazopata sa hii
ni picha za miaka ya nyuma hii sio kitu cha ajabu kwa waishio kando kando ya mto msimbazi.Isije ikawa ni AI
Duh... mbona hatari sana... ningekuwa naishi msimbazi kwa picha hizi bora nikapange tu!ni picha za miaka ya nyuma hii sio kitu cha ajabu kwa waishio kando kando ya mto msimbazi.
Wengi humu ni vijana chini ya miaka 35.Inanikumbusha 97
Yeah! hakuna imani bila matendo mkuu.,vijana AI imewafanya mnaishi kwa wasiwasi sana.