Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

Tupe story kidogo ilikuwaje Mkuu?
Mkuu, kama unaishi mabondeni au eneo lolote hatarishi hama,usiende kwa Suguye wala kwa Mwamposa,hayo maafa hayaogopi MIUJIZA.
Mafuriko yalisomba mali,watu,mifugo hadi mijusi achia mbali nzi waliokuwa wanahangaika na mizoga,mvua ilipo katika ukame ukaingia, hakuna zao lililo stahimili joto.
Tuonyeshe juhudi za kujinusuru huku tukijisindikiza na maombi kwa Muumba wetu, yaani Mungu akitoka kwenye shughuli zake atukute tunapambana kujinusuru
 
😀 ndiyo ushangae na wewe mkuu waswahili wao ni bora wajenge tu ila kuchunguza kwamba najenga wapi hizo sio shida zao.
Mana hapo kuna nyumba zimetumia gharama sana hapo. Akiyejenga nyumba hizo angeweza kufanya maamuz mengine yoyote mana uwezo anao. Watu wanaokwama kwenye 3neo kama hilo ni waliorithi maeneo au wanaojitafuta kimaisha
 
Mkuu, kama unaishi mabondeni au eneo lolote hatarishi hama,usiende kwa Suguye wala kwa Mwamposa,hayo maafa hayaogopi MIUJIZA.
Mafuriko yalisomba mali,watu,mifugo hadi mijusi achia mbali nzi waliokuwa wanahangaika na mizoga,mvua ilipo katika ukame ukaingia, hakuna zao lililo stahimili joto.
Tuonyeshe juhudi za kujinusuru huku tukijisindikiza na maombi kwa Muumba wetu, yaani Mungu akitoka kwenye shughuli zake atukute tunapambana kujinusuru
Aisee hatari sana. Umeeleweka vizuri sana Mkuu.
 
Mana hapo kuna nyumba zimetumia gharama sana hapo. Akiyejenga nyumba hizo angeweza kufanya maamuz mengine yoyote mana uwezo anao. Watu wanaokwama kwenye 3neo kama hilo ni waliorithi maeneo au wanaojitafuta kimaisha
Wengi wanaangalia unafuu wa bei ya viwanja.
 
ukicheki clip za namna hiyo, ukalinganisha na tulivyoshangilia , mfugale, kijazi flyover unaona kabisa safari bado ndefu sana zoezi hata la miaka 70
Safari bado ndefu sana mkuu tunajikongoja kongoja kia Afrika Afrika tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom