Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Hahaha!! Kama muheshimiwa utafika.
Nashukuru Mungu nimepona kabisaaaa,asante kwa kunijulia hali...... kwani unataka kuja pm?(joke)

Tumshukuru Mungu kwa zawadi ya afya njema... Haaa nataka nije pm.. ila ngoja niende kugombea ubunge ili niwe mheshimiwa
 
PM ni INBOX kwa maana nyingine huko mambo yanaenda kisiri zaid
 
Tumshukuru Mungu kwa zawadi ya afya njema... Haaa nataka nije pm.. ila ngoja niende kugombea ubunge ili niwe mheshimiwa

Ameen, ...yani hapo utakuwa umefanya la maana sana maana pochi kwanza mengine badaye lolz
 
Huko kwenye pm nilifikiri kuna matunda nikawa nimeplan niende kumbe mitongozano na migegedo, hatari.
 
Back
Top Bottom