Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Huko kuna mambo ya siri tu na waonao sirini ni wewe na unae "PieMiana" nae......kuna mdada humu huwa nna PieMiana nae karibu kila cku

nani huyo mkuu na mi nijaribu kum piemu... au akishawahiwa wengine tunatafuta waliobaki
 
nani huyo mkuu na mi nijaribu kum piemu... au akishawahiwa wengine tunatafuta waliobaki

C ndo maana ya PM ni siri siwezi kumtaja.....yaan kila cku ucku tuna PieMiana mambo ya migegedo tu nadhani hana mume yule
 
jaman u guys u made my day..!
so huko pm unabisha hod au get liko wazi...! hahaaaaaa
 
C ndo maana ya PM ni siri siwezi kumtaja.....yaan kila cku ucku tuna PieMiana mambo ya migegedo tu nadhani hana mume yule

haa haaa haaaaa Eiyer pita hapa...
 
Last edited by a moderator:
Haaaa kumbe ndo maana sina hadhi ya kufika huko?
BTW: umeshapona kabisa ever?

Hahaha!! Kama muheshimiwa utafika.
Nashukuru Mungu nimepona kabisaaaa,asante kwa kunijulia hali...... kwani unataka kuja pm?(joke)
 
Hakuna siri ya maana pm Zaid ya kutongozana na wachache wanaongelea dili za kumake not
 
Back
Top Bottom