hahahaa! thatha umetoaje jibu mama?
ila PM kuna vijimambo! kuna mdada nilishawahi kumtokelezea PM wakati bado mgeni wa JF, sasa hivi sina hamu nae tena!
keshakuwa too high hills kwa vijimambo...! lol.
Namjua....
Huko we acha tu. Kuna shangingi moja nilim PM mwaka jana hakunijibu basi hadi leo nna kijiba cha roho. Nikawa nikiona amekomenti kwenye uzi nalipita jukwaa ka naruka moto siku moja akani quote komenti yangu weee nilimuwashia moto ule wa jehanamu una afadhali.
Hahahaaaahaaah Nimecheka sana. Halafu PM inatengeneza njia ya kudumbukia whatsApp!
pliz pliz mtaje kimya kimya! ningemkomalia enzi zile ningekuwa nishakula! basi tu shule ilinibana sana! lol..
kweli eenh?
hivi kwanini umejiita kiziwi jamani?
nimekusoma sana kwenye stori ya Casuist wewe!.. duh!
kweli eenh?
hivi kwanini umejiita kiziwi jamani?
nimekusoma sana kwenye stori ya Casuist wewe!.. duh!
Hahahaha
Nimezoea kuitwa kwenye thread zangu, leo kuangalia title, nkajiuliza niliandika usingizini...
Hahahaaa jina tu Excel. Kumbe na we ni mdau kwa Casuist eeh?
hahahaaa! mkuu ulijua na hii ni hadithi eenh? pole sana aisee,
ile story ya isabela nimekuwa nikiifuatilia bila kusema chochote, for sure ni nzuri sana!
sasa nikawa nashangaa mbona uko beneti sana na binti kiziwi pamoja na amina mabata? au ndo isabela na jesca?
lol.. kidding guys!
Duuuhh....ninong'onezepo hata piemu labda nnayemdhania siye
afwazali hujamtambua! ana maneno huyo! akiongea utazani mariam wa migomba! duh.. niliingia cha kike kwa kweli!
Mzee Mwanakijiji umekamata kwenyewe.Nadhani Mh.km amerudi ktk hii safu basi hii aiwekee note,ni extract muhimu.Serikali hadi leo bado wapo wanjisuasua kwa copywrites za wasanii tuu hawajui hata ktk patent kunaweza watoa wabongo kibao,kwani mtu km analowazo jipya na zuri akilewekewa patent analiuza au kukopea nalo na kuweza fanya kazi kwa kipindi fulani ambacho atakuwa amerudisha gharama zake na ndio sasa fungulia mbwa ianze ili kuleta upinzani.
Lakini leo hii hata jamaa wa chai maharage enzi zile,au chakula cha waathirika Arusha,Au mchoraji wa leo anaweza fikisha proposal yake bank leo ya kuomba mkopo kwa ajili ya wazo lake kesho akakuta hilo wazo limeshafanyiwa kazi na tajiri moja nguvu za kutisha.
Mzee mwanakijiji hii itapiga bao si utalii peke yake bali kila sector.Patakuwepo mfumuko wa mawazo na ubunifu wa kila nyanja ambao utaleta mafanikio makubwa.Mtaji wa kila raia utakuwa akili yake,na mafanikio ya makampuni yatakuwa mitaji yao.
sana tu yani!
hapa niko nasoma sehemu ya 20 jinsi t.ako linavyoteketezwa kuondoa alama ya 666!
kwema lakini binti? ntakutafuta na wewe usaini booonge la mkataba! usiniulize wa nini lakini! sawa eenh?
Nishamjuaaaa....