nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
kwa hiyo kama ukioa inabidi uoe usiyempenda ili uyashinde mapenzi?Hiyo ndio mbinu ya kuyashinda mapenzi mkuu. Vinginevyo utaona lazima awe wako jambo litakalosababisha uteseke kuliko ambavyo ungejitesa mwenyewe.
Huwezi shinda kifo Kama hukuwahi kufa.
Mkuu Mimi sio ke, naona unataka unitabirie.
Umekula lakini cha usiku maana awamu hii si mchezo
Ndio mkuu.Well said
SafiUsijali Joanah, hata wewe unaweza kufanya hayo.
Mimi mtu akizingua ninachokifanya na-assume Kama amekufa vile Leo kisha nambwaga then maisha yaendelea.
Hivi mpenzi wako akifa Leo hutaendelea kuishi Mkuu.
Embu acha kuishi kwaajili ya MTU. Au hujaelewa sentensi ya Yesu aliposema kila mtu ataubeba mzigo au msalaba wake mwenyewe.
Njoo nikufundishe hizo mishe ila Kama unapresha ya kupanda sitaki coz naweza kupata kesi ya mauaji
Aiseee ukweli unauma hasa ukimpenda asiekupenda na akakupa mabango laivu.
Uswe na hof wakoHow i wish ningekuwa na uwezo wa kuwaza na kutenda hayo
Mapenzi buana
Hata hivyo ujumbe mzuri
Unaencourage sisi beginners
AWAmu hii ni kushindia viroba tu,na warembo ndo hawakuelew kabisaHii awamu ni shida mkuu.
Hata hivyo nimeelewa
Mkuu hapa nazungumzia upendo wa mwanzo.kwa hiyo kama ukioa inabidi uoe usiyempenda ili uyashinde mapenzi?
Usijali Joanah, hata wewe unaweza kufanya hayo.
Mimi mtu akizingua ninachokifanya na-assume Kama amekufa vile Leo kisha nambwaga then maisha yaendelea.
Hivi mpenzi wako akifa Leo hutaendelea kuishi Mkuu.
Embu acha kuishi kwaajili ya MTU. Au hujaelewa sentensi ya Yesu aliposema kila mtu ataubeba mzigo au msalaba wake mwenyewe.
Njoo nikufundishe hizo mishe ila Kama unapresha ya kupanda sitaki coz naweza kupata kesi ya mauaji
Yaah cha msingi ni usikubali mtu Fulani akawa ndio chanzo cha furaha yako na hiyo ni kanuni ya tano kati ya zile kumi zinazoniongozaSafi
Taratibu taratibu tutaweza tu
sasa wewe uliumizwa mpk ukashindwa kupenda? au ulikuwa unamsaidia huyo mwenzako uliyemuumiza?Mkuu hapa nazungumzia upendo wa mwanzo.
Kumbuka upendo wa kwanza unanguvu kuliko wa pili.
Mtu akiumizwa Mara ya kwanza hawezi kupenda Mara ya pili kwa kiwango kile kile. Hivyo nionavyo Mimi usikubali upendo wa mwanzo yaani mtu unayempenda mwanzo akuoe Kama unataka kuyashinda mapenzi.
Sijui unanielewa Mummy.
hahahahaaaa!!AWAmu hii ni kushindia viroba tu,na warembo ndo hawakuelew kabisa
Naomba usimalizie tuu hiyo methali maana ipo kinyume na maadili
Mtaka cha mvunguni shart_______
OKYaah cha msingi ni usikubali mtu Fulani akawa ndio chanzo cha furaha yako na hiyo ni kanuni ya tano kati ya zile kumi zinazoniongoza
Walaaah joanaNaomba usimalizie tuu hiyo methali maana ipo kinyume na maadili
Nilikuwa nampenda mrembo mmoja.sasa wewe uliumizwa mpk ukashindwa kupenda? au ulikuwa unamsaidia huyo mwenzako uliyemuumiza?
Haa haa haa aiseee umekimbusha
Mbali lakin stak hata kukumbuka
Schek kwa mazur lakin
Nkii imagine vle mtu unakosa
Ucngz ucku kisa tu mabango
Ya live dhaaa
safi Sana mrembo.OK
Naiweka akilini hii kuanzia sasa