Sio lazima awe wako

Sio lazima awe wako

Sasa mtu humpend unamwambia kistaarabu anataka tumia mabavu kulazimisha apendwe umfanyie nn sasa akuelewe.
Unavyomfanyia mwenzako jua kuwa inamuuma sana,tena live....siku ukija fanyiwa wewe ndo mana huwaunaskiaga mtu kajinyonga kisa mapenzi
 
Sasa mtu humpend unamwambia kistaarabu anataka tumia mabavu kulazimisha apendwe umfanyie nn sasa akuelewe.
Mfano mtu humpendi na hutaki kuwa nae?unaweza ukamwomba mtoke out??au ukamwomba some staff like zawadi zawadi??
 
No ukiona hivyo ujue huyo kakugeuza sponsor hajali hisia zako anajali pesa zako.
Mfano mtu humpendi na hutaki kuwa nae?unaweza ukamwomba mtoke out??au ukamwomba some staff like zawadi zawadi??

Kwa upande wangu urafiki labda uwe wa mbali salam tu sio ubest mwisho wa siku majanga na kukomoana
Bora muwe friends and thennaanza kupotzeana taratibu
 
Ha ha haaa. .... Umewapa msemo mzur ambao bado hawajapata ubavu wao.... " Asante kwa kushiriki" we jamaa wewe!!!
 
Nilikuwa nampenda mrembo mmoja.
Tathmin yangu ya kila siku ilikuwa inanionyesha kila muda unapoenda ndivyo nizidivyo kumpenda na wivu kuongezeka.

Mimi ni mtu wa tathmini ya mambo niyatendayo. Nikaona hili ni janga ambalo lazima nilichukulie hatua mapema. Kwani tukigombana kidogo nilihisi naumia kuliko yeye. Jambo hili sikupenda nilipuuzie na sikutaka likue.

Hivyo niliamua kumbwaga tuu bila sababu ya maana. Alilia sana lakini ilikuwa kwa ajili ya kulinda furaha yangu ya kesho na kufukuza huzuni yangu ya kesho. Japo niliumia Sana kumuacha bila sababu lakini Leo ninafurahia maisha ya mapenzi kuliko ambavyo ningekuwa nae mpaka Leo then aniache.
Daaah we mtu unaakili sana
 
Safi sana,,,,,,,,, na wish watu wengi wangekua na mtazamo huu,,,,,,mausha yangekua rahisi kidogo,,,,,,Big up kwa wote wenye principle hii
 
Dah mmiliki wa post upo kama mimi.. Nipo tayari kuachana na mtu dakika yoyote


Ndio Mkuu mambo ya kuchekeana yaliisha. Mtu mzima unakimbizana naye Kama mtoto. Psuuuu!!!

Mi napenda kina Miss Chagga maana wanapenda tuu Mti pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom