nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
kwa hiyo kama ukioa inabidi uoe usiyempenda ili uyashinde mapenzi?Hiyo ndio mbinu ya kuyashinda mapenzi mkuu. Vinginevyo utaona lazima awe wako jambo litakalosababisha uteseke kuliko ambavyo ungejitesa mwenyewe.
Huwezi shinda kifo Kama hukuwahi kufa.


