baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,489
- 12,095
Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana baada ya Uchaguzi aya Mazoezi yasipoendelea ya kujiweka Utayari. Wananchi wakishazoea jeshi kwamba linatumika na Watawala basi kwenye mambo ya Kisiasa ile heshima ya Jeshi itaisha kabisa na kujiweka sehemu Mbaya zaidi tushike Madaraka kwa kujenga Hoja sio kutegemea Jeshi watawala waliwahi kujiuliza siku JESHI likigomea amri haramu itakuaje? Tuliache JWTZ la wananchi libaki kua la Wananchi Nyerere akua Mjinga kulipa jina Jeshi la wananchi sio Jeshi la Rais
hapana Jeshi letu Tuliache tusilitumie kwenye mambo ya Kisiasa. Ikifika sehemu wananchi wakadharau mpaka Jeshi watawala mnategemea nini?
hapana Jeshi letu Tuliache tusilitumie kwenye mambo ya Kisiasa. Ikifika sehemu wananchi wakadharau mpaka Jeshi watawala mnategemea nini?