kila mhaya akishika hela akijua kitu zaidi huwa watajiinua sana... masawe mmoja tu umekutana na wachaga wangapi wachafu? mnamajivuno... MILIONI KUMI HELA YA KUNUNUA MBOGA MFYUUUU
Unasikitisha sana...
Kuna post ziko humu zinawakashifu vbaya mno wachaga kutokana na maeneo wanayotoka lakini Mimi sioni hoja za msingi pale..
Eti unaniambia wachaga wa sjui machame wanaua wanaume wao wakati Mimi nimemwoa Mmachame na hajaniua sioni la maana! Ila naishia kusema MTI WENYE MATUNDA MAZURI NDIO UNAORUSHIWA MAWE..
Wahaya dharau sana. Mnawaita wa makabila mengine WANYAMAHANGA. Ukishaitwa Mnyamahanga kwenye sherehe zao utaishia kupewa maji baridi au soda baridi.
Kwanza kuhusu Mama Tibaijuka mi sioni kama alikuwa na dharau kusema hela ni hiyo ni ya mboga... Basi tu watu wameamua kushikilia bango maana mtu kusema milioni 10 ni hela ya mboga haimanishi kuwa ni hela ya kununulia mboga bali ni hela ya kufanyia matumizi madogodogo na watu wengi sana hutumia huo msemo mtaani kwa kusema kiasi fulani cha Pesa ni cha Mboga..
Najaribu kufikiria ile kauli ya vijisenti... Hiyo labda ndo ilikuwa ina dharau..... Mi sio mhaya ila tunakosea sana kupresume kila kitkachosemwa na mtu wa kabila hilo ni tambo au dharau wakati ukiangalia kiuhalisia wanachofanya wao hata makabila mengine wanafanya kila siku...tuacheni ukabila
kila mhaya akishika hela akijua kitu zaidi huwa watajiinua sana... masawe mmoja tu umekutana na wachaga wangapi wachafu? mnamajivuno... MILIONI KUMI HELA YA KUNUNUA MBOGA MFYUUUU
Acha ideology hzo za ujinga! Nampenda ananipenda tunapendana!
Kuna jamaa yangu wa Musoma aliwahi kukaa Bukoba akasema muhaya anajisifia amesoma mpaka mbwa wake amesoma yaani "nkashoma ne mbwa yange yashoma naigambira mbwa yeisiza nayeta dog yagamba wou" Hapana chezea nshomile no shiiiiiida!
mm nina marafiki wengi wachaga tunafanya madili km wakina Mrema,Mongi,Meena n.k na wote mifuko ikinona tunatamba mji mzima wa Dar...
KILA MHAYA....una uhakika na hili jambo?
umeona umeona masifa hapa ................nyie hata mkiwa hmna hea mnatamba ha ha ha
Weeeee!!!!! Chenge sio msukuma weee!!
NDIYOOOOOO!!!!!!!!!!! hata nilipo yupo sema kapewa ufupi nikijisikia nataka kitu nampa masifa linaleta tena wapo wengi utasikia ...mimi nimesoma , nitawouwa binti mzuri, nina hera wewe acha unjinga ..... wakienda restrant mama naniliii lete kile chakula cha kwetu
ww kabila gani?Kuna jamaa wa kihaya tulikuwa chuoni bwana akawa ananiletea majivuno sana sasa kuna siku tukakutana mahali alikoma toka siku hiyo akiniona ananikwepa .
Kuna mwandishi wa habari wa ITV jina unalijua kwa tamaa ya pesa alifanya mpaka mchumba wske akajiua! Ni kabila gani vile?
Anayetamba bila kuwa na pesa huyo punguani...