Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
niliwahi kusoma na mhaya hizo dharau zake japo amekulia mjini

mleta mada unataka kupingana na ukweli kwamba hamna dharau wala majivuni ukweli kwamba yasemwayo yapo na hili lipo miaka yote tunawajua ile kauli ya mama tiba ni muendelezo tu wa tabia zenu

Hivi hamjui hayo maringo na dharau za Wahaya ni maumbile yao kama mnavyowasifia wana mguu mizuri na shape nzuri kwa hiyo kubadirika sio rahisi kwani mtu huwezi kabadirisha maumbile kwani Mungu ndio amewaumba hivyo.
 
Kwanini mnawasurubu wahaya hii ni dhambi ya Ubaguzi tena usiyo na msingi binadamu wote sawa na kama mapungufu ni ya binadamu wote na sisi sote tumeumbwa na MUNGU kwanini tuanze kusurubiana na kuanza kunyosheana vidole kwa mapungufu yetu. Hapana tuwa wafuasi wa UTU ili tukiwa wote tuwa watu wa kufaana na kuleana kwa mapungufu yetu.

Na Wahaya ndivyo walivyoumbwa na MUNGU ni shida kubadirika kwani ndivyo walivyo, hivi ushangai kwa nini wote wako hivyo!! Jibu ndivyo walivyoumbwa kama tunavyowasifia wana mguu mzuri n.k kwa hiyo hiyo nayo ni sifa.
NAONA TUWACHUKULIE JINSI WALIVYO na ukiwa zola hawakupi shida.
 
Back
Top Bottom