Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Hivi hamjui hayo maringo na dharau za Wahaya ni maumbile yao kama mnavyowasifia wana mguu mizuri na shape nzuri kwa hiyo kubadirika sio rahisi kwani mtu huwezi kabadirisha maumbile kwani Mungu ndio amewaumba hivyo.

mbona wanyaruanda hawaringi?
 
Wewe ndo mshamba kabısa.Hayo huwa nı maneno ya waamini wenye uelekeo wa kuokoka dhıdi ya wasio okoka na si wahaya.Mbona tunaambiwa sana maneno hayo na walokole wala hatujishughulishi kujua kabıla zao??Wenda huyo alikuwa Charismatıc Catholic.

yep alikuwa charistmatic.....I am very christian na siku ya mwisho mungu ndo atanihukumu
 
Naomba kuuliza, bucha gani inauza kitoweo cha milioni 10? Natafuta mboga ya leo mchana....

Kwani aliposena wew ulielewa kuwa kaenda butcher kuchukua mboga ya nyumbani ama na wewe ndo mnaodandia bila kujua nin hasa kilimaanishwa!!!
 
Hapa wamezungumziwa wahaya na sio wanyaruanda, labda nikusahihishe hatujaongea Watanzania ni Wahaya.
siimak hapo nimemjibu aliyedai wahaya wanaringa sababu wanasifiwa wana miguu na maumbo mazuri
 
Hukunielewa nilichozungumza mwanzo, nilisema hivi huko kuringa ni maumbile yao yaani ndivyo walivyo hatuwezi kuwabadirisha, kama tunavyosifia mguu yao na huko kuringa ni moja ya sifa zao.
 
hatujaelewana na mimi nimemwekwa mnyaruanda sababu wao wana maumbo, miguu mizuri , nywele na hata sura na pia watu wengi tunawasifia sana lakini hawaringi kama hawa ndugu zetu wahaya kwa hiyo uzuri na kusifiwa si sababu ya wao kuringa
 
mnyaruanda= mnyarwanda
 
Nafikiri upeo wako ni mdogo kuelewa!
 
hatujaelewana na mimi nimemwekwa mnyaruanda sababu wao wana maumbo, miguu mizuri , nywele na hata sura na pia watu wengi tunawasifia sana lakini hawaringi kama hawa ndugu zetu wahaya kwa hiyo uzuri na kusifiwa si sababu ya wao kuringa

Narudia tena ndivyo Mungu alivyowaumba kabadirika ni vigumu ndivyo walivyo na wenyewe hawajui kama wanaringa wanaona wako sawa tu, kazi kwenu mnaoona wana tofauti.
 
hujarudia yote ndugu, hayo ni ya mwishoni ya mwanzoni umeyaacha
 
Back
Top Bottom