miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Naja naja, naona darasa letu litakuwa la aina yake maana linazinduliwa leo usiku.
Yes yes ruwemamu usisahahu hela
Naja naja, naona darasa letu litakuwa la aina yake maana linazinduliwa leo usiku.
Ninachoshukuru kwa wahaya ni kimoja tu wamepunguza kesi za ubakaji kwa hali ya juu.
Ila na ubaguzi na roho mbaya wanazo.huruma yao iko kuanzia kiunoni kushukia chini.ni wachache sana wastaarabu au kwa vile wengi walisoma kwa econyagi na kuuza bidhaa hai .....!
Mi naona makabila mengi yapo hivyo.tatizo samaki mmoja akioza......Kweli ndugu yangu wanatuonea, Utafikiri makabila mengine hamna wanaoringa, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Wahaya bwana,
kuna muhaya alisimamishwa na trafiki,
mhaya:unasemaje bwana mdogo??
Trafiki:kwa nini unaendesha gari ukiwa hujafunga mkanda?
Mhaya:usiseme gari, sema range rover.
Trafiki:sawa kwanini unaendesha hii range rover bila kufunga mkanda?
Mhaya:usiseme range rover tu, sema range rover ya mwaka 2015.
Mhaya:hii ni new model ya kisasa kabi
sa, mkanda wake ni wire less huwezi kuuona.
Trafiki: Safari njema kiongozi!!
Mi naona makabila mengi yapo hivyo.tatizo samaki mmoja akioza......
Mfano wachaga jeuri na dharau zinajificha vile biashara haichagui mteja lakini nao pia wamo.na wahehe ni maskini ila dharau yao acha.! Wanyiha ndo bure kabisa wengi hata hawajielewi lakini roho ngumu ova....nyakyusa...
Kiufupi wengi wa mkoa wako hivyo........! Wanajikaza kaza tu.!
Ila na ubaguzi na roho mbaya wanazo.huruma yao iko kuanzia kiunoni kushukia chini.ni wachache sana wastaarabu au kwa vile wengi walisoma kwa econyagi na kuuza bidhaa hai .....!
Wewe huna huruma ya chini? Mpaka dakika hii umeshahurumia wangapi? Usipende kudharau wenzako wakati na wewe kitendea kazi kazi unacho au chako hakifanyi kazi?
Halafu wahaya hawana huruma wao wanafanya biashara, Umesahau wenye huruma ni wahehe (wewe niangusage dhambi ni zako) na wengine wamakonde (chimnyimi mtu kumnyima mtu ni dhambi nimepewa bure na Mungu).
wanaume dharau wanawake wanaachia tuu free of charge..
Wahaya ni shemeji zangu, tena nawapenda mno;lakini nitawaeleza ukweli ili waweze BADILI TABIA zao za kuudhi au kukera !
I miss Ladyfurahia