Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

mkikosa mada bora mkae kimya siyo kujadili mambo ya makabila ya watu. mnapata wapi muda wa kuyachunguza hayo!?
 
Ha ha ha kila mhaya anasifa hata aweje ...akiwa mshika dini utafikiri anakaa na Mungu huko mbinguni...acha bana ila mtu kama mi nawapenda huwa nawapamba tu huku natumia vyao ...note... Huwa situmiki

Hehehee, sio suala la sifa. Wahaya wamekuwa trained to think big kwenye jambo lolote wanalofanya. Kitu ambacho sio kawaida kwa makabila mengi Tanzania ambapo watu wanakua trained kujiweka chini kwa sababu mbalimbali, hasa kuhofia mambo ya kishirikina na ujambazi. Mfano, huwezi hata siku moja kumsikia Muhaya anaita nyumba yake 'kibanda changu' no matter how small the house is, au Vitz yake aiite 'kausafiri kangu'. Ila kwa makabila mengine, hata kama mtu ana hekalu, utamsikia anasema 'kakibanda kangu' au Land Cruiser anaiita kausafiri kangu.

So ukiweza kukaa na Wahaya ukawaelewa vizuri, hata siku moja huwezi sema wana dharau, its just their ways of living. Mfano Prof Tibaijuka aliposema milion 10 alitumia kununua mboga ni lugha ya picha inayomaanisha matumizi binafsi, sema kwa nature ya suala lenyewe, ikatafsiriwa na wengi kama dharau. Ila wengi wetu tunatumia maneno kama hayo kila siku lakini tunaona ya kawaida tu. Mfano tunaposema 'kula bata' badala ya kufanya starehe.
 
Hii training kiboko. Hata Ruge alisema yale mabilioni yalikuwa vijisenti.
 
Hii mada imeibuliwa tena? Ilinifanya nipate rafiki humu. CC: rafiki
 
Hehehee, sio suala la sifa. Wahaya wamekuwa trained to think big kwenye jambo lolote wanalofanya. Kitu ambacho sio kawaida kwa makabila mengi Tanzania ambapo watu wanakua trained kujiweka chini kwa sababu mbalimbali, hasa kuhofia mambo ya kishirikina na ujambazi. Mfano, huwezi hata siku moja kumsikia Muhaya anaita nyumba yake 'kibanda changu' no matter how small the house is, au Vitz yake aiite 'kausafiri kangu'. Ila kwa makabila mengine, hata kama mtu ana hekalu, utamsikia anasema 'kakibanda kangu' au Land Cruiser anaiita kausafiri kangu.

So ukiweza kukaa na Wahaya ukawaelewa vizuri, hata siku moja huwezi sema wana dharau, its just their ways of living. Mfano Prof Tibaijuka aliposema milion 10 alitumia kununua mboga ni lugha ya picha inayomaanisha matumizi binafsi, sema kwa nature ya suala lenyewe, ikatafsiriwa na wengi kama dharau. Ila wengi wetu tunatumia maneno kama hayo kila siku lakini tunaona ya kawaida tu. Mfano tunaposema 'kula bata' badala ya kufanya starehe.
duh kwa hiyo nyie mna kubwisha vitu hata kama ni vidogo?
 
Wewe huna huruma ya chini? Mpaka dakika hii umeshahurumia wangapi? Usipende kudharau wenzako wakati na wewe kitendea kazi kazi unacho au chako hakifanyi kazi?
Halafu wahaya hawana huruma wao wanafanya biashara, Umesahau wenye huruma ni wahehe (wewe niangusage dhambi ni zako) na wengine wamakonde (chimnyimi mtu kumnyima mtu ni dhambi nimepewa bure na Mungu).
Kumnyima mtu dhambi ao ni watu wa Masasi
 
NCHI TAJIRI,WATU WAKE MASKINI ETI WANAJADILI UKABILA,BADALA YA KUJADILI
NAMNA GANI UTAJIRI WA NCHI UTAKAVYO WANUFAISHA WATU MASKINI.

SIKU HIZI WATU WAKIPATA VIJISENTI KIDOGO WANAANZA KUJADILI VITU VYA
KIBAGUZI.NCHI HII NI YA WATANZANIA NA SI WAHAYA AU WASUKUMA N.K

KUJADILI UKABILA KWA KARNE HII NI UPUUZI NA HII HAITAPUNGUZA NGUVU ZA
KABILA HUSIKA KUVUNJIKA MOYO WA UTAFUTAJI BALI ITAZIDI KUWACHOMA MIOYO
YENU NINYI MNAOJADILI KINYUME.

UKIMUONA MTU MZIMA JUU YA 18 ANAJADILI UKABILA JUA KUNA KITU KIZIDIWA AU
WIVU WA KISWAHILI SWAHILI NA UBABAISHAJI USIOKUWA NA ELIMU YA KUTOSHA.
 
Wahaya hawana roho mbaya, ila ni wajivuni kupindukia na wajuaji sana..

Jirani yangu ni muhaya uwa hanipi shida katika maisha ya kawaida na ujivuni wake...

"nimeagiza ranger rover ipo kwenye maji inakuja"
 
Back
Top Bottom