Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 684
Uko sawa kabisa !!Shukrani mkuu Sinkala sasa najua shem anapika na kupakua swaaafi kabisa.
Uko sawa kabisa !!Shukrani mkuu Sinkala sasa najua shem anapika na kupakua swaaafi kabisa.
Uko sawa kabisa !!
Tumebaki sisi sasa kuiga mfano wako mzuri mimi natarajia hapo mwaka 2012 nitangaze live lakini tatizo bado sijampata.
Soma Bible,Mwanzo 2:18. Neno linasema Mungu atakupa wa kufanana nae,mfano kama wewe fisadi wa mapenzi ,utampata fisadi wa mapenzi.Hivyo take good care.
Ha ha haaa !! Fidel, ni kweli hujampata? Sasa na yule anayekung'ata ni nani? Na yule mwingine uliyesingiziwa kuwa ana mimba yako je? Mimi nadhani umempata/umewapata ila hujaamua tu !!... mimi natarajia hapo mwaka 2012 nitangaze live lakini tatizo bado sijampata.
Ha ha haaa !! Fidel, ni kweli hujampata? Sasa na yule anayekung'ata ni nani? Na yule mwingine uliyesingiziwa kuwa ana mimba yako je? Mimi nadhani umempata/umewapata ila hujaamua tu !!
Du...hii kali.
Na Fidel180 alikuwepo! huoni kuwa ni tishio kwa usalama wa ndoa yako! Ni mchafuzi sana huyu jamaa, usicheke nae bana! Chunga sana simu ya mkeo mzee, usikute keshaanza kumdipudipu!
Mkuu, ni mapema mno kwangu kuzungumzia experience ya ndoa kwani ndo kwanza nipo katika wiki ya pili, ukizingatia kwamba wiki moja ilikuwa ya honeymoon! Kwa sasa siwezi kuongelea experience ya ndoa, ila naweza kuongelea experience ya harusi !!! However kufunga ndoa ni wajibu.Mkuu Sinkala mwaga hapa mauzoefu yako na ma expiliensi yako ya ndoa hadi sasa,vipi unashauri na wengine wajitose au ndo yashakuwa yale ya walio nje wanataka waingie na walio ndani wanataka kujongomea?
Nitapata lini sasa maana muda unakwenda na kusali na sali au huyu Mungu anataka nizeeke ndo anionyeshee?
Inawezekana unachagua saaaaaaaaana.Yani yule Mungu anayekupa na anaona anakufaa,wewe unamkataa kwa sababu zako,labda unaona hajasoma na vitu kama hivyo.Lakini endelea kuvumilia utampata tu.Sio mbaya ukimuuliza Sinkala akupe desa wake alimpataje? Sababu anaonekana amepata mke mwema.
Tatizo nao wataka wananipiga chini na ambao siwataki ndo hao wananipenda mpaka wananing'ata.
.
Usijali Fidel80! I guess umezaliwa 80's,muda bado kidogo.Vizuri mara nyingi vina gharama ,na gharama mojawapo ni muda..
hongera......ila kuwa makini na fidel180 haaminiki.....