its true mkuu,
Na tena sio wote wana regular period,wengine hawajui siku za hatari kwa sababu mizunguko yao inabadilika badilika(irregular periods)
Nadhani wote ,wanaume na wanawake tujifunze kwa hili,mambo mengine hayaepukiki na yakitokea wote wanaume na wanawake tuwe responsible.
Mie sio single mom ila hakuna kitu kinanikera kama hiki, maybe kuna single mom aliwahi kufungua uzi akiomba msaada humu wa kulea mtoto!!Mm wananiboa sana, of course ni single mom lkn sipendi kbs hz topic maana ht nilivyompata huyu mtoto sivyo km wanavyocomments maujinga humu.
Hatupumui, kutwa kusemwa as if tulishawahi kulia shida humu na kuomba msaada. Yaan humu jf wanaume ni wachache wengi ni wasengenyaji na waongo tu wasio kaa kufanya yao.
Sio single mother Mimi ila kuna watu wa karibu tu najua anakua na mwanaume na wanamipango kabisa mizuri mwishowe kajikuta mjamzito halafu baadae anaanza kumzungusha anaenda oa kwingine.Barbra kaungana na jamaa hapo juu kuwa wanaume ndo chanzo ....
Je nawe pia ni among the "single mums?"
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi akamuongelea mwanamke kidhalilishaji that way, maana lazima atashirikisha ubongo kabla hajaropoka.Hahaahahaa. Yani huyu kwa akili yake inaonekana kabisa anadate vilaza wenzie. Mwanaume anapenda kuongelea vibaya mwanamke ujue ubongo wake hauko sawa.
Yaan, mie wangu alikataa mimba na akasema nisimjui tena. Nikapiga moyo konde nikasimama imara nikaamua kulea. Baada ya kujifungua mtoto copy right baba ake, siku moja akaoneshwa mtoto na rafiki yangu hapo akiwa na miaka miwili. Ndio akajileta, Aiseeee nilimwambia umekosea njia. Fanya yako, yangu hayakuhusu.Tatizo ni kwamba wanaume wengine hawaelewagi hivyo viti vya calendar kama huwa vinazingua. Wao wakishaloeka mimba ikaingia akili inamtuma ulimtegeshea kumbe hata mimi sikupenda kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
Tatizo likishatokea la kutokea wenzetu wanaume wanatukimbia wanatuacha tuhangaike wenyewe.
Hakuna single mother asiye mpweke wanajikaza tu mbele za watu na kujionyesha wako happyipi bora kuwa single mother au kuwa mpweke?
And they are never wrong, but women are!! Damn!!!Tatizo ni kwamba wanaume wengine hawaelewagi hivyo viti vya calendar kama huwa vinazingua. Wao wakishaloeka mimba ikaingia akili inamtuma ulimtegeshea kumbe hata mimi sikupenda kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
Tatizo likishatokea la kutokea wenzetu wanaume wanatukimbia wanatuacha tuhangaike wenyewe.
Hawana kazi za kufanya wanaona heri wapunguze stress kutupondea. Mm kwa kweli niko proud sana na mtoto wangu. Na tunaishi vzr tu kuliko ht hawa wanaokaa nyuma ya key board kutupondea mxieeew.Mie sio single mom ila hakuna kitu kinanikera kama hiki, maybe kuna single mom aliwahi kufungua uzi akiomba msaada humu wa kulea mtoto!!
Ndio hawa hawa akina baba diamond, wanajikuta sperm donors alafu baadae anaanza kulia lia kwenye media!!
No wonder wanawake siku hizi wanajionelea bora wazae tu kuliko kuwa na haya mafurushi.
Tatizo ni kwamba wanaume wengine hawaelewagi hivyo viti vya calendar kama huwa vinazingua. Wao wakishaloeka mimba ikaingia akili inamtuma ulimtegeshea kumbe hata mimi sikupenda kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
Tatizo likishatokea la kutokea wenzetu wanaume wanatukimbia wanatuacha tuhangaike wenyewe.
Pole sana mpendwa.Yaan, mie wangu alikataa mimba na akasema nisimjui tena. Nikapiga moyo konde nikasimama imara nikaamua kulea. Baada ya kujifungua mtoto copy right baba ake, siku moja akaoneshwa mtoto na rafiki yangu hapo akiwa na miaka miwili. Ndio akajileta, Aiseeee nilimwambia umekosea njia. Fanya yako, yangu hayakuhusu.
Maana wakati ananiacha aliniacha kwa jeuri sana na maneno kibao ya kashfa.
Sidhani km ni kweli,unless labda maisha yakuendee komboHakuna single mother asiye mpweke wanajikaza tu mbele za watu na kujionyesha wako happy
Inategemea!Hakuna single mother asiye mpweke wanajikaza tu mbele za watu na kujionyesha wako happy
Yaan unajua mambo mengine kuna wakati mtu unaona bora tu uwe maamuzi yanayoufurahisha moyo wako. Nilikuja gundua alituzalisha watatu kwa wakati mmoja. Tulitofautiana miezi tu.Pole sana mpendwa.
Ila rudisha tu moyo nyuma, alikukosea sawa, ila hiyo ni damu yake, mtoto anahitaji kumfahamu baba yake, mchukulie tu kama mpuuzi aliyetekwa na upuuzi hata akajitoa ufahamu, ila kama anahitaji kuwa kwenye maisha ya mwanae then let him. Mengine ni maamuzi ya mtoto mwenyewe.
Daah!!!!Yaan unajua mambo mengine kuna wakati mtu unaona bora tu uwe maamuzi yanayoufurahisha moyo wako. Nilikuja gundua alituzalisha watatu kwa wakati mmoja. Tulitofautiana miezi tu.
Maisha Yakiwa mazuri Hakuna upwekeSidhani km ni kweli,unless labda maisha yakuendee kombo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]They are better than you.
Akimpata aliesahihi anakuwa happy hapo sawaInategemea!
Wapo walio ktk ndoa na ni wapweke kuliko hata single moms.
Kuna single moms ambao hatimae wamepata walio sahihi kwao and they are happy, someone who is happy walaa haitaji kubragg abt it, utamuona tu.
Yaan unajua mambo mengine kuna wakati mtu unaona bora tu uwe maamuzi yanayoufurahisha moyo wako. Nilikuja gundua alituzalisha watatu kwa wakati mmoja. Tulitofautiana miezi tu.