Single mothers, ni nini chanzo?

Wewe nani kakuambia tarehe hatarishi ziko constant kama pie? Na wewe ulimbukeni wako wa kutotaka kutumia condom ndo unakufanya umpe mimba mwanamke usie na malengo nae
mwanamke yeyote anazijua dalili za yai lililokua tayari kuna viashiria vinamfanya aisi yupo kwenye danger date, we inaelekea hujaenda Jando mambo yote mnafundishwa mnapowekwa ndani na mabibi zenu ila wanawake wa siku hizi mnakula sana chips yai, chemical drinks, peds feki nk na kuaribu mfumo wa reproduction wacha tuwatie mimba tu na kuwakimbia Ulimbukeni wenu ndio uaowaponza
 
tatizo wanatutegeshea bila kutushirikisha ktk mpango wa kuzaa mwisho wa siku mimba ikinasa alafu wewe hujajipanga kuwa kid lazma umkimbie
Imeonekana hili la kutegeshea ni tatizo kubwa
 

Mkuu ukitaka kuingia period kuna dalili gani?
 
Imeonekana hili la kutegeshea ni tatizo kubwa
tatizo mkuu wakikuona unamaisha mazuri halafu unapotezea suala la ndoa wanategesha ili apate kichochezi cha kuwa nae hapo ndipo wanapolia
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] anasaidiwaje huyo?
 
tatizo mkuu wakikuona unamaisha mazuri halafu unapotezea suala la ndoa wanategesha ili apate kichochezi cha kuwa nae hapo ndipo wanapolia

Ukiwa na maisha mazuri usichezee wasichana,sio midoli hio,wana hisia kama wewe,ukishafika umri wa kuoa,oa uanzishe familia,sio kuruka hapa na pale,ukiruka kubali matokeo.
 
Kwakuwa analea akiwa haishi na baba wa mtoto, ila mtoto ana baba yake na mama yake.

Hivi hakuna single dads? Maana naona mmewashupalia single moms tu.
Yaweza kuwa wapo but informations juu yao zikawa "handled with care" cause they're delicate ones [emoji1] [emoji1]
 
mkuu ni kabila gani hilo?
ahahahah
ndio lenye single mom wengi
 
Ukiwa na maisha mazuri usichezee wasichana,sio midoli hio,wana hisia kama wewe,ukishafika umri wa kuoa,oa uanzishe familia,sio kuruka hapa na pale,ukiruka kubali matokeo.
wasichana wakikuona una maisha mazuri wanajileta wenyewe ukiwa huna mpango nae hapo ndipo wanapofeli Badilikeni ficheni Nyuchi zenu mpaka umpate mr. right
 
Hujajipanga kuwa kid!!!
Thot you always kids!

Hivi mtu mzima unategeshewa mimba!!! What irresponsible boy you are!!
Kumbe wanaotegeshewa mimba wote ni irresponsible ones .... atoto hebu funguka hapo HOW?
 
tetesi; Jf naskia imejaa single mother wengi, humu ndio kimbilio la kutolea stress zao huku wakijifanya bado ni watoto wabichi kabsaaaa
 
POLE SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…