Single mothers, ni nini chanzo?

Mkuu information imeshiba haswa .... hapo kwenye kutegesha mimba hapo naona ni tatizo .... niaje juu ya ushirikina huko kukoje mkuu?
 

Nimekupenda bure.umekuwa mtenda haki na umekuwa mkweli[emoji1545]
 
Issue sio usawa tatizo kubwa ni wanaume I swear mwanamke ukimtreet kama inavyotakowa hakutakuwa na single mather wanaune walio wengi hawajui kuish na wanawake wao baadhi ya wanaume humchukulia mwanamke kama mtu wa kawaida tu hili ni tatizo
Sio kwamba hawajui wanajua vizuri sana ila. Ukishakuwa unamjali mwanamke ujue we na shilingi ni bye bye. Kwasababu kumjali mwanamke ni garama kubwa sana. Mwanamke atataka atafune mda wako, anataka atafune nguvu zako, anataka atafune pesa zako, anataka ujitoe mhanga ujipinde mgongo vizuri kitandani tena, huku we ukiambulia neno "ooo yes bby"... Anataka mwanaume pekee achangie penzi tena kwa kila kitu. Wanaume tunawajua vizuri wanawake hawana shukrani hata ungemtreat vp. Ukiishiwa atakuita mwanaume suruali kaa mbali. Dawa ni kugonga na kuondoka kabla hujashushiwa mizinga.
 
Ulimbukeni wa wanawake kutozijua tarehe zao hatarishi, kudanganyika kirahisi mwisho wa siku yanawafika hayo ya usingle mother
 
Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
We umemaliza kila kitu. Kuna demu mmoja kabila sitaji (lile linaloongoza kwa masingle mother) niliachana nae tukiwa mwaka wa tatu chuoni..Sasa ivi ni single mother wa watoto wawili sababu ya kiburi,kujiona alpha,amesoma ,dharau ,jeuri..sasa ivi pombe kali na stress vina undugu nae
 
Ulimbukeni wa wanawake kutozijua tarehe zao hatarishi, kudanganyika kirahisi mwisho wa siku yanawafika hayo ya usingle mother
Kuna mmoja anasema ikifika hizo siku za hatari huwa anavurugiwa akili sana, nataka nimkamate mwanaume kwa nguvu. Dyudyu linavimba, na hata nikipata mwanaume siridhiki kabisa, ningetaka ndume km tatu hivi hapo ndo napoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…