Pole mkuu kwann usimsamehe.Hata kueleza ni ngumu, yeye hakuwa single Mama, ila sasa ndo single Mama, Yani alinitoa machozi siku Moja, ngumu sana kusahau!
Wanawake, aisee wanawake, Hapana ndugu yangu, Wanajijua wenyewe kabisa, sio watu wema na wakueleweka hata kidogo, Mungu ndo anajua na anatusaidia.
Usidandie SGR kwa mbele. Amerudi na ku-edit maelezo yake baada ya kusoma hii comment yangu. Pamoja na uzee wangu wa miaka 78, all my mental faculties are still intact, madam.
Pole mkuu kwann usimsamehe.
Pole sanaNiliacha mke wangu Nina miaka 50 na watoto wa 4, iliniuma sana maana sikutegemea, alinidharau mno baada ya ( yeye mke wangu ) kutoka nje ya ndoa, na Mimi kujua.
Kama single Mother na x wife ni mmoja wapo, waache tu wayapitie Magumu kwa maana nikiwa na miaka 50 nililazimishwa kuanza tafuta mke.
Miaka yangu yote ya ndo nilikuwa nawahangaikia yeye na watoto wake, sikujifikiria, mwanamke single aisee kama wakwangu, mwache tu aendelee kutaabika!
Kumbe alitakiwa adandie SGR kwa wapi!?Usidandie SGR kwa mbele. Amerudi na ku-edit maelezo yake baada ya kusoma hii comment yangu. Pamoja na uzee wangu wa miaka 78, all my mental faculties are still intact, madam.
Mlangoni...like everybody else! 😂😂😂🖐Kumbe alitakiwa adandie SGR kwa wapi!?
🤣🤣🤣🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
"If you want to destroy any nation circulate the nudity picture and destroy the family stability " alisema mwana falsa mmoja.Kusema ule ukweli , familia inahitaji stability ya nguvu angalau wazazi wawe pamoja mpaka kifo ,kuna mazingira yanahitaji sapot ya pande mbili.
Uncle wangu anayo pesa ila ni single fathers wa watoto wanne ,kazi ni umalaya tu . Ikitokea kwake amekuja hata mama yake kumuuguza basi anatafuta mtu kutoka mbali huko ili aje kukaa pale ili kupika ,siku za sikukuu watoto wake anawapeleka kwa mama zao .Kiufupi, kupata watoto kwenye familia ni nzuri zaidi.
Nyuzi kama hizi uwezi mkuta Lucha
Lucha yupo kwenye uzi wa vita..
Na yeye ni furaha tuu mda wote anakwambia Israel inateketea moto 🤣🤣🤣🤣🤣
Pole sanaMmoja ana injini 5 na kila moja ina baba yake
Nikakutana na mwingine ana injini 4 na kila moja ina baba yake
Nikakutana na mwingine ana injini 3 na kila moja ina baba yake
Yule wa Musoma mwenye injini 2 kila mmoja na baba yake mtoto wa Mchungaji mmoja maarufu ndio nilichoka kabisa
Bad enough wote kichwani km kuna nati zimepungua
🤣🤣🤣
mfatilieni lucha wakuu mtagundua k
Ulijaribu kutafuta tatizo Nini?Niliacha mke wangu Nina miaka 50 na watoto wa 4, iliniuma sana maana sikutegemea, alinidharau mno baada ya ( yeye mke wangu ) kutoka nje ya ndoa, na Mimi kujua.
Kama single Mother na x wife ni mmoja wapo, waache tu wayapitie Magumu kwa maana nikiwa na miaka 50 nililazimishwa kuanza tafuta mke.
Miaka yangu yote ya ndo nilikuwa nawahangaikia yeye na watoto wake, sikujifikiria, mwanamke single aisee kama wakwangu, mwache tu aendelee kutaabika!
Aiseee!! NimewazaNilishasema mwanamke akishakuwa single mother akili huwa sio ya kwake kabisa,sasa ukijichanganya kumuao ndio akili itakukaa vizuri.Kama mke wako wa ndoa baada ya kuzaa watoto hali huwa zinabadilika na kufikia hata kujaza sumu watoto wako mwenyewe ili wakuchukie,sembuse huyu aliezaa na mwanaume ambaye alimkataa,na akamuacha na mtoto peke yake,na anajua kabisa huyu mtoto sio wako.Ukisoma nyuzi humu ndani wengi wanazungumzia uhalisia wa maisha waliyokutana nayo baada ya kuishi nao,achana na wale wanaotoa tu kejeli kwasababu ya hisia au kusikia kutoka kwa watu wengine......
Ulijaribu kutafuta tatizo Nini?