ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,602
- 119,755
kwa mtu anayependa watoto hawezi kuboreka akisikia utundu wa mtoto wa mtu......mim navyopenda watoto napenda sana kusikia mtoto wa mwezangu anavyofanya utundu....
..napenda watoto pia, tena Sana! Lakini Kuna wakati ukiwa katika hali ya mahaba na mwenzako, mawazo yake automatically yapo kwa mwanae na huwezi kumzuia kufanya hivyo, vile ni damu yake.hiyo inapunguza bond kati yako na mwenzako. Naongea kwa uzoefu hapa...
,..baadhi ya single parents wapo so frustrated na maisha, wanahitaji father figure in the house kwa sababu ya presha toka kwa watoto, wakiuliza "mummy mbona sisi hatuna dad, mbona kina James wana dad, anacheza nao..mbona dad yetu haji kuishi na sisi?"..hilo ni tatizo wengi hawajui kulitatua, hayo ya kuwalisha, kuwavisha na kuwapeleka shule most ladies sasa wako very independent lakini a father figure in the house plus loneliness is killing single moms!!